King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 63,160
- 95,904
Alishawahi fungwa 4-0 na hao hao Azam msimu uliopita.Kagera sio wa kufungwa 5.
UShindi ni ule wa mechi zako si wa mwingine kukushindia.Kagera sio wa kufungwa 5.
Kawaida mara moja mojaKinyonge sana mtani 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Ingefunga uto mngesema mnaendeleza ushindi wa 5GKagera sio wa kufungwa 5.