FT| ASFC: Simba SC 5-1 Ihefu SC | Azam Complex Stadium | Aprili 7, 2023

FT| ASFC: Simba SC 5-1 Ihefu SC | Azam Complex Stadium | Aprili 7, 2023

Mwanaume wao
JamiiForums701333353.jpg
 
mbogo maji wamelowa
japo simba bado hiki si kipimo kwetu
 
Simba hii nyokoo, hao wasouth wajiangalie mara mbili mbili🤣🤣🤝
 
Kwann robertinho hataki kuwaamini wachezaji wengine Kila siku anawachezaji hao hao tu ?? Kuna maana gani ya kuwa na sub

Anatakiwa kuamini wachezaji sio Kila siku hao hao kauka ni kuvae.
 
Haya wapumzisheni Sasa Wakina Chama, Saidoo, Mzamiru muwape nafasi na wengine kucheza, Sio kila mechi, kila mashindano wachezaji walewale
 
Mganga wako alikudanganya kadai pesa zako leo yatafika 10
 
haya matokeo kwa ihefu bado si kipimo kabisa kwa simba naona inakwenda kuuwa uwezo wa timu
 
Back
Top Bottom