Fruit salad

Ashuraju

Member
Dec 6, 2012
36
2
Habari zenu ndugu zangu!!!

Jamani ninashida ya ujuzi wakutengeneza fruit salads, kama kuna mtu anaweza nipatia link au recipes nitashukuru sana. nahitaji kujua aina nyingi nyingi ya fruit salad, ili nitengeneze nyumbani.
Asante sana.
===========================================================================================================


74773.jpg
images
images
images
images
images
images


http://allrecipes.com/Recipe/Perfec...?prop24=hn_slide1_Perfect-Fruit-Salad&evt19=1


Tropical Fruit Salad


  • 1 pineapple
  • 2 mangoes
  • 2 bananas
  • 1/2 cup drained canned lychees in syrup
  • 1/2 cup pomegranate seeds
  • 3 tbsp. shredded sweetened dried coconut

  • Avocado Fruit Salad
  • 3 medium ripe pitted California avocados
  • 2 tbsp. lemon juice
  • 1/2 cup plain yogurt
  • 2 tbsp. honey
  • 1 tsp. grated lemon peel
  • I medium apple
  • 1 medium firm banana
  • 1 cup halved seedless grapes
  • 1 can (11 oz.) drained mandarin oranges

    Simple Fruit Salad
  • 1 cup strawberries
  • 1 cup cherries
  • 1/2 cup blueberries
  • 1/2 red apple
  • 1/2 peach
  • 1 kiwi
  • 2 tbsp. lemon juice


Jinsi ya kuandaa tropic salad
-Andaa matunda vizuri kwa kuyasafisha,pia ni vizuri utumie matunda fresh
-katakata nanasi vizuri
-katakata embe vizuri
-changanya na mbegu za komamanga,
-weka kwenye friji kwa muda wa siku moja ili fleva iwe nzuri
-Andaa juisi ya embe alafu tumia salad yako huku ukisindikiza na juisi ya embe.

Note:maziwa mgando pia hutumika kama kiungo cha fruit salad.
 
Embe bivu, parachichi , papai ,na ndizi mbivu safisha vizuri menya kata vipande vidogo vodogo changanya pamoja then mwagia kwa juu cream ya maziwa fresh yaliyochemshwa
 
Embe bivu, parachichi , papai ,na ndizi mbivu safisha vizuri menya kata vipande vidogo vodogo changanya pamoja then mwagia kwa juu cream ya maziwa fresh yaliyochemshwa

Maziwa fresh haya ya kawaida,ya kwenye maboksi
 
sio kazi kubwa sana. Kama upo TZ, angalia matunda yanatopatikana sehemu uliyopo, kulingana na msimu.

mfano ukija hapa napoishi kwa sasa nitakutengenezea fruits salad ya watermellon, banana, pear, apple, pineaple, and avocado. kwenye sahani, naweza decorate kwa zabibu na vipande vya machungwa vilivyomenywa kwa mkono, sio kisu.
naweza kamulia maji ya limao kidogo, au maji ya machungwa. mi mtu wa diet, siweki syrup wala cream

angalizo, hii haikawi kwenye fridge siku nzima/ muda mrefu sana, inaliwa siku hiyo hiyo. ndizi na parachichi zikikaa sana frijini zinakuwa nyeusi flani hivi. Chungwa linakuwa chungu/ na ukali kidogo
 
Back
Top Bottom