Front Page ya Gazeti la Uwazi

Inasikitisha sana kuona Tanzania Daima nalo limejiunga kwenye magazeti ya UDAKU.
 
Ukisoma kilichopo ndani ni upuuzi mtupu. Hakiusiani na kichwa cha habari.
 
Shigongo hana tofauti kubwa na Clouds Radio.
 
Huwa sipendi kuchangia mambo ya kidini, ngoja niwe mpore nione mwisho wa hili sakata najua kitanuka tu.
 
anakoeleka kubaya
laana ya viongozi wa dini ni mbaya kuliko laana ya mzazi
mind you mtaona mwisho wa Shigongo na kampuni yake.kanisa
sidhani kama watakuwa na muda wa kuargue na wachumia tumbo kama hawa
sala zao zinatosha kutoa majibu
 
Serikali inasubiri nini kulifungia kwa muda usiojulikana kwa kuandika mambo wasiyokuwa na uhakika nayo.Maana hii pia ni aina ya kutaka kusababisha uvunjifu wa amani,ni uchochezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…