From Uporoto.... with love.

Sahihi kabisa naona anashuka mlima pale ful baridi. Kitu garijembe hcho
 
Hicho kimteremko kinanikumbusha basi moja zamani likiitwa "Mzalendo" lililopinduka na kuua watu tele baada ya kushindwa kukimudu.
 
Aisee niliwahi kufika hapa Uyole niliipenda sana hali ya hewa yake halafu misosi kwa kweli ni bei ya kutupa.
 
Mkuu kilimo kinalipa si kipole pole. Hasa kilimo cha mda mfupi kama hicho cha KABICHI.
Mradi uwe na soko lako la uhakika, na uwe umesimamia mwenyewe,au umemweka mtu unayemwamini katika usimamizi.
Ukisubiria kazi za kampuni binafsi zikutoe, utasota sana....

TAFAKARI......CHUKUA HATUA
 
Du , kwa mtaji huuwa fikra nitaenda kulima!
 
Mandoline 109, mcho kati hiki chuma hakiwezi kukutupa mpaka kimerudisha fadhila.
 
hivi uporoto sio uyole? manake ukipandisha ule mlima wa uyole ndo unaskia uporoto sasa sijui nini ni nini.
 
Hiyo gari kwa sisi tuliojifunzia, inaitwa TINDO, hapo kitu ni double clutch mkuu, gear ya reverse na namba mbili lazma zikohoe!

Inanikumbusha mbali sana hiyo!
 
hapo wajomba wa kaskazi wanaenda machame au kibosho kufuatilia kitu mbeje,kwa juu wamepiga boshoro na koti ndeefu kukwepa mbeu.
 
ni kweli hiyo ni lami ya mzungu (kampuni inaitwa "SOGEA" Mfaransa

Duuu! Mkuu umenikumbusha SOGEA, long time walipokuwa wanajenga Lami ya MBY-Kasumulu! Mughonile bhandu bha Kyalaaaa!:israel:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…