Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,913
- 10,719
HAIJATOKAPart 2 waliharibu hii
HAIJATOKAPart 2 waliharibu hii
Wamezingua sanaSIjui walifeli wapi
Mwakani watatoa iko kwenye developmentWamezingua sana
Yule Askari abadilishe zile nguo, pia kristi abadili staili ya nywele au arudishe kama zamaniWakimuua Ellis, Fatima hawezi kuishi au atakua wa hovyo sana, wamtoe tu baba ake Victor 🤣🤣 me simuelewi japo anauliza maswali ya maana ila hawajamzingatia tu, wangemtoa yule askari au wambadilishe attitude yake ili aanze kudate na Kenny, the guy needs a girlfriend jamani
Yule Binti Boyd atamgonga season 4Yule Askari abadilishe zile nguo, pia kristi abadili staili ya nywele au arudishe kama zamani
Walitoka ndioYellow jacket nzuri sana hivi season 2 wale wadada walifanikiwa kutoka kule msituni
Aisee best series hiyo ila wamezidi Kila time wanasagana sana aisee😀😀Walitoka ndio
Lkn nao wakawa na mauzauza yao tafraan.
Mmoja anakuwa anaumwa cancer, mwengine anakuwa ana issue na family yake (mume plus mtt wake) yule muhusika mkuu alielala na boyfriend wa best friend wake. Na si ndio alimuua yule boyfriend wake allokuwa anacheat nae then wakamkatakata na kumuingiza kwenye coffin la maiti nyengine ilokuwa inazikwa.
Mwengine anakuwa teja.
Mwengine anakuwa anamiliki sehemu km ya kuabudu mizimu sijui ndio mnaita cult
Anyway, nishawasahau majina wote. Nna kichwa kibovu nowadays 😅😅😅
Kweli anatafuta attetion kwa boyd, muda si mrefu ataipataYule Binti Boyd atamgonga season 4
Na ushoga kama kawaida.Aisee best series hiyo ila wamezidi Kila time wanasagana sana aisee😀😀
Kabisa wanazingua sanaNa ushoga kama kawaida.
Coach alikuwa shoga 🙃
Epsode ya kwanza iko hewani now😁
Mi tangu imetoka nimejikuta nimepoteza hamu kabisa ya kuangalia.Sio series ya kuangalia hiyo.
Episode 3 - Maongezi
Episode inayofuata - Kibao
Episode 3 nyingine - Maongezi
Episode ya mwisho - Teke
Season 1 imeisha.
Sana kaka natamani hata iwe na season nyingi