Ketoka JF-Expert Member Joined Sep 23, 2015 Posts 1,121 Reaction score 1,983 Sep 25, 2018 #1 Msaada aliye na utaalam wa ku-convert video kutoka mp4 kwenda mpeg4 naomba anisaidie nitumie app gani ambayo nitadownload kwenye sim Au nisaidie app ya kudownload video kutoka YouTube moja kwa moja yenye format ya mpeg4 Aliye na ujuzi tusaidiane
Msaada aliye na utaalam wa ku-convert video kutoka mp4 kwenda mpeg4 naomba anisaidie nitumie app gani ambayo nitadownload kwenye sim Au nisaidie app ya kudownload video kutoka YouTube moja kwa moja yenye format ya mpeg4 Aliye na ujuzi tusaidiane
Wick JF-Expert Member Joined Dec 19, 2012 Posts 8,311 Reaction score 12,201 Sep 25, 2018 #2 Hivi MPEG4 ni VCD ndio zina play!?.. Imekuaje unataka outdated format kiasi hicho!?..
yakobo11 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2016 Posts 510 Reaction score 739 Sep 25, 2018 #3 Nami napenda kujua