From Madame B to Mung Chris...

Wala usijali.
Maneno yako sio sheria kwamba lazima tuyafate.
Tumbo langu, na mbebaji ni mimi.
Afu uzuri wake, sie wala hatuna hata wasiwasi.
Nimerudia mara kibao kuielezea hiyo miezi 3, ila nashangaa unakurupuka tu.
Kuwa na tabia ya kusoma vilivyopostiwa nyuma.
Mie na Mung Chris ndo tushaamua.
Hizo nyingine ni kiungo tu kama ilivyo chumvi mbogani
Ila asante kwa kuchangia.
See you!!!
 
Bora hata nipate mdogo wangu wa kucheza nayee
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Umeona eeee my daugjter2
Safi sana.
Mtachezajeeee......
 
Mwanasaikolojia Mmoja Maarufu aliwahi kusema Hakuna Kitu Kigumu kama kumshauri "A Woman in Love", Huyu ana miezi mitatu tu Mkumbuke katika Uhusiano
 
Condom kwenu ni msamiati..
Duh!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…