Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,598
- 81,591
Ila braza wewe kweli striker kama Etoo sio butu kama Morata.Ahsante Mama kijacho. I will always love you more than your expectation. May God bless our house.
tunapenda attention !tatizo mnajisahauTatizo sio ubahili,tatizo hata hizo hela zenyewe sina😂😂😂😂😂...but somo ulilonipa liliniingia kisawasawa ngoja nitafute hela...lakini wakati mwingine hata nyie wenyewe hamueleweki mnataka nini😂😂
Anhaaa...noted😎tunapenda attention !tatizo mnajisahau
Ukiwa mkubwa.Duh sjui na mimi nitapendwa lini
Mi likubwa tayari...or unamaanisha waleti yangu ikiwa kubwa??😂😂😂Ukiwa mkubwa.
Mapenzi sio pesa, nilimaanisha umri.Mi likubwa tayari...or unamaanisha waleti yangu ikiwa kubwa??[emoji23][emoji23][emoji23]
Asante sana culture gal.Kila la kheir katika mapenzi yenu, mpendane, mvumiliane na muheshimiane.
Sasa unachoshangaa hapa ni nini?Yaani miezi mitatu mtu kashakuwa mama kijacho.
Khaa!!
Hii dunia Kama Kuna kituo Cha kushuka naomba nishuke tu.