From Madame B to Mung Chris...

Waoooo
Hongera sana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jpl nimeshusha valuer za haja..nafika hom kama saa2 namkuta hibby naye anangia..pombe ikakata pale akanikazia jicho mie huyooo kuogaπŸ˜‚πŸ˜‚ nikikumbuka nacheka jaman..ndo yale yale ya kina mung..
 
Shoga ndo hayo ya kina Mung
Pombe nakunywa Dar, harufu anaipata yeye Arusha.

Ila jamani bora tu wamrudishe Ben Saanane wangu.
Hivi viapo vya damu ni vibaya sana.
Mshana Jr aje kuniagua kwa kweli.
Nateseka sana...
 
Pamoja na sifa nyingine kumbe mshairi wa kiwango cha lami.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…