From Madame B to Mung Chris...

Wanyaki, mbunye wanampa kila mtu, wanapenda pombe na outing kisa wanataka kuonekana wanakula bata.
 
Wanaume tunaopenda kuwasikiliza wanawake tupo wachache, nanyi mkiwapata heshimuni ona unarudi kudanga tena
Basi bakini nao hao wanaowasikiliza.
Acha sie wenye masikio ya popo tupende tunapotaka.

Tangu umeanza kusoma pale mwanzo, nimekwambia natafuta bwana hapa!
Nawe usinichoshe wewe.
Kama huna la kuongea, kapige nyeto
 
Basi bakini nao hao wanaowasikiliza.
Acha sie wenye masikio ya popo tupende tunapotaka.

Tangu umeanza kusoma pale mwanzo, nimekwambia natafuta bwana hapa!
Nawe usinichoshe wewe.
Kama huna la kuongea, kapige nyeto
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ leo unaknywa bia gan kali hvyo
 
Fresh tu broda!!!

Wala sina kitatange, wewe tu na roho yako ya kupaa na ungo kuleta quote isipohitajika.

Aliyekwambia nina pressure nani?
Mwanaume anipe presha mimi?

Ok tufanye yameisha babe.
Maana tukianza kuzozana hapa, tutafika mbali sana.

Byeeeeee!!!!!
 

Sasa Madam B umeleta uzi hadharani na hakuna masharti ya jukwaa kikanuni kua haitakiwi akina Wyatt kuchangia...

Kungekua na sheria hiyo wala usingeona na comment ila ngoma ipo wazi kwa anyone..

Au walao ungeweka angalizo kwenye kichwa cha habari kabisa kua "Wyatt Dont Click This Thread",usingeniona...

Hakuna ugomvi wowote,ni wewe tu ulichukulia quote vibaya,sikua na ill intentions,niliweka tu itufanye tufikiri using other dimensions..

Hivi wewe ndie yule Madame alikua anaombaga mchango wa nauli kutoka sijui Mbeya to Arusha?

Was that'chu?
 
Ngoja ninyamaze...maana mdomo wangu naujua.

Mchango?
Mie siishi Mbeya wala Arusha.
Umechanganya madesa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…