Ahhahhah lakini Madame si ungetulia tu jamani si uliamua kukubaliana na haliWe acha tu.
Nikwambie kitu Shu.
Unapopata mwanaume humu Jf, inabidi azoee nyendo zako na ile misemo ya humu.
Unajua tabia ni kama ngozi ya mwili...kuibadili huwezi
😂😂😂kwann mkuu!dah... huon art zangu jaman...Nilikuwa sijui kama wewe ni mwanamke
Nilikuwa sijakuchunguza [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23]kwann mkuu!dah... huon art zangu jaman...
😂😂unadhan watu km madame hawapati watu wao ?huyu hajampata wa kufanana naye bado...Ahhahhah lakini Madame si ungetulia tu jamani si uliamua kukubaliana na hali
Hahhahah ungetulia tu lakini sisi tunamtaka shemeji yetu arudi tu hukuHahahahahhhahhahhahah
hahahahhahahahahahhaha
Sura zenu mziweke tu huku Jf mwaya...hahhahah
Shemeji yako anakaba mpaka penati.
Nikichat na mwanaume jukwaani, nyumbani hakukaliki
haya kaka...Nilikuwa sijakuchunguza [emoji1]
Ruksa bibi weeee😂😂😂vibaya hvo jaman nyie wanwake npendweje jaman..kweli nimeamini wasemayo hatujielew tunataka nn😎!nipe ruhusa nianze salam mara moja moja kwa ex😎pm
kwakweli tuanze na hyo hashtag#WeLoveMungChrisHahhahah ungetulia tu lakini sisi tunamtaka shemeji yetu arudi tu huku
Hahhahha kwahiyo shemeji yetu inakuwaje sisi tunamtakaNdoa nimewaachia nyie...mie nitabaki hawara.
Akha!!!
haya kaka...
😂😂😂😂 plus sukumas!lokRuksa bibi weeee
Utakuja nihadithia hapahapa.
Hv wachaga ndo wanawivu hivi?
Mie najua wachaga wanajua kutafuta pesa, wivu wawaachie wakinga
Inawezekana sana[emoji23][emoji23]unadhan watu km madame hawapati watu wao ?huyu hajampata wa kufanana naye bado...
Mie kiukweli mwanaume ambae alikuwa ananikosha na ambae nilikuwa nimemuweka moyoni kiukweli ni mpenzi Ben Saanane.😂😂unadhan watu km madame hawapati watu wao ?huyu hajampata wa kufanana naye bado...
Hahahah tumrudishe tu sisi mashemeji bado tunampendakwakweli tuanze na hyo hashtag#WeLoveMungChris
Madame usimfanyie hivyo mtoto wa mwanamke mwenzioNimeona hali si hali....cha kufia na tai shingoni
Ben kapotea rudi basi kwa shark hahaha hawa wengine wapojeMie kiukweli mwanaume ambae alikuwa ananikosha na ambae nilikuwa nimemuweka moyoni kiukweli ni mpenzi Ben Saanane.
Yaani mapenzi yalikuwa moto sana....
Kisha akaja mbabe Shark huyu nae alikuwa ananipatia sana....ila hawa wengine ni kama royco tu...hata ikikosekana kwenye mboga, mboga italika tu
Hahaha tunakutaka wewe tu ndio uliyetutambulisha humuMtafutieni mwanamke mwingine.
Mie nina moyo wa nyama sio wa chuma