Ukweli ni kwamba kufuata kwetu masharti ya IMF kwa miaka takriban 30 hakujatusaidia watanzania bali kumetudhoofisha sana,.... hao ndiyo washauri walioisaidia Tanzania kuuza kila tulicho nacho, mpaka vitalu.
I've never been a fan, I am not a fan and will never be a fan.
Ubovu wa nchi hii ni vilaza walioko juu kutekeleza mipango mizuri ya taifa hili, mbona nchi nyingine zimevuka hatua hii?
Duh! Basi kazi ipo, kama mtu unatukanwa kwa kutaka kufahamu, Msimamo wa Chama ambacho kinatafuta ridhaa ya kuongoza Nchi, hilo linaacha maswali mengi kuliko majibu!
Ukweli ni kwamba kufuata kwetu masharti ya IMF kwa miaka takriban 30 hakujatusaidia watanzania bali kumetudhoofisha sana,.... hao ndiyo washauri walioisaidia Tanzania kuuza kila tulicho nacho, mpaka vitalu.
I've never been a fan, I am not a fan and will never be a fan.
Moja ya udhaifu wa serikali ya Mwinyi ilikuwa kutokukusanya kodi. Hii ilipelekea bidhaa zetu kushindwa kushindana na bidhaa toka nje ambazo hazikulipiwa kodi, hivyo viwanda vyetu vikaoonekena mzigo na kuvigeuza mabohari. Siamini kuwa IMF walimshauri Mwinyi asitoze kodi.Ukweli ni kwamba kufuata kwetu masharti ya IMF kwa miaka takriban 30 hakujatusaidia watanzania bali kumetudhoofisha sana,.... hao ndiyo washauri walioisaidia Tanzania kuuza kila tulicho nacho, mpaka vitalu.
I've never been a fan, I am not a fan and will never be a fan.
Kobello,
Sasa hapa kobelo kakutukana wapi? Na kwa nini uamini kuwa aliye-comment ni mwanachama wa Chadema?
Halafu mbona kwenye maelezo yako hujasema unatafuta msimamo wa chama pekee bali swali linaelekezwa kwa Mtei
au wanaoweza kusaidia kujibu. Na hapo ndipo unapoalika wengine waingie kwenye mjadala, na si lazima wawe
wanachama wa Chadema au Mtei peke yake.
Mkuu unapoandika kutaka Opinion (umesema usaidiwe) usiwe na yako mfukoni. Sikiliza halafu chambua mwenyewe.
BTW maelezo ya Kobelo haya hapa chini:
Tatizo la IMF halihusiani na kukusanya kodi.Kwani Tanzania ilikuwa haiweki fedha IMF? Kama tulikuwa tunaweka fedha IMF, kwanini nchi kama Uruguay katika kipindi hichohicho ambacho serikali ya Tanzania ilikuwa inahitaji fedha kusurvive, ipewe mkopo mkubwa wa fedha bila kuwa na akiba yeyote IMF na bila kuwa na shida ya fedha kuendesha serikali kulinganisha na Tanzania??Moja ya udhaifu wa serikali ya Mwinyi ilikuwa kutokukusanya kodi. Hii ilipelekea bidhaa zetu kushindwa kushindana na bidhaa toka nje ambazo hazikulipiwa kodi, hivyo viwanda vyetu vikaoonekena mzigo na kuvigeuza mabohari. Siamini kuwa IMF walimshauri Mwinyi asitoze kodi.
Hata swala la thamani ya shilingi, tusingeng'ang'ania kubaki na thamani ileile ya shilingi wakati kiuhalisia thamani yake ilikuwa chini sana kulingana na mali tuliyokuwa nayo. Nakumbuka wakati fulani hata Mwalimu mwenyewe amewahi kuulaumu utawala wa Mwinyi kwamba wakati ilikuwa sahihi kuyaacha yale makosa yaliyofanywa na Mwalimu, alishangaa kuwa hata mazuri wanayaacha. In a way, alikubali kuwa kuna makosa aliyafanya.
Wewe nafikiri utakuwa na matatizo na unakurupuka kujibu bila kusoma vizuri, embu rudia kusoma mada yangu, halafu usome na ya kobelo halafu rudia tena kusoma niliyomjibu Kobelo, labda utaelewa!
Duh! Basi kazi ipo, kama mtu unatukanwa kwa kutaka kufahamu, Msimamo wa Chama ambacho kinatafuta ridhaa ya kuongoza Nchi, hilo linaacha maswali mengi kuliko majibu!
Ningependa kumuuliza Mzee Bw. Edwin Mtei natumaini huwa labda anasoma humu au kama kuna mtu anayeweza kumjibia pia sio mbaya!
Ni hivi majuzi nilinununua Kitabu chake kiitwacho From Goatherd to Governor au (kutoka uchungaji kondoo mpaka kufikia Cheo cha Ugavana wa Benki Kuu)!
Na lengo hasa la kununua hicho Kitabu lilikuwa ni kupata undani wa Mwana Chadema Nr.1 TZ ili kuweza kupata angalau picha ya ni nini nitegemee endapo CHADEMA ikiweza kupata nafasi ya kuongoza!
Moja ya jambo lililonigusa ni pale hasa alipoelezea yeye kutofautiana na Raisi wa 1 wa Tz
Bw. JK Nyerere hasa kuhusiana na sera, ambapo yeye alitaka kwamba sisi tukubali ushauri wa Benki ya Dunia na Shirika la Fedha Duniani ili kunusuru hali mbaya ya uchumi wetu, jambo ambalo bosi wake wakati huo alilikataa, na hivyo kupelekea yeye kujiuzulu!
Baadaye Tanzania ikaja kukubali kufwata mfumo na ushauri wa Benki ya Dunia, na yeye
Bw.Mtei kulingana na maelezo yake mwenyewe ndani ya Kitabu, alishiriki ktk kuishauri Serikali ya awamu ya 2 jinsi ya kufanya mageuzi ya kiuchumi wakati huo akiwa yuko Shirika la Fedha, na moja ya Ushauri ulikuwa ni sisi kukubali kushusha thamani ya fedha yetu (jambo ambalo Bw.Nyerere alilipinga siku zote ingawaje mwisho wa siku ilibidi asalimu amri) na pia kufungua Uchumi wetu Duniani, mambo ambayo Serikali ilitekeleza!
Sasa swali langu ni hivi, Je bado unaamini kwamba ushauri ulioupa Serikali ya Awamu ya 2 ulikuwa sahihi? ukichukulia kwamba matatizo au changamoto zinazotukabili sasa zimetokana na sisi kufwata ushauri wako wakati wewe ukiwa mshauri wa Shirika la Fedha Duniani?
Je bado unafikiri kwamba swala la sisi kukubali kushusha Thamani ya Shilingi yetu lilikuwa sawa ukichukulia sasa pesa yetu imepoteza thamani kabisa? Sasa hivi Tz haina maana hata kuweka akiba kwani kila siku Fedha yetu inashuka thamani ukiwa na milioni 2 leo miaka 2 baadaye haina maana yoyote!
Je CHADEMA bado watafuata hizo Sera ulizoshiriki kuishauri Serikali ya awamu ya 2 izifwate?
Kijakazi
what matters most today is to do a right thing at the right time.........
mugabe hakunyang'anya wazungu ardhi wakati ule.....wakaja kunyang'anya uzeeni....imewagarimu zimbabwe....
nyerere aliwanyang'anya kupitia azimio la arusha......... leo tunawaita kwa kutumia hata ushirikina...TUNA AKILI KWELI?