From Goatherd to Governor, Edwin Mtei's Autobiography | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

From Goatherd to Governor, Edwin Mtei's Autobiography

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by epigenetics, Sep 27, 2009.

 1. epigenetics

  epigenetics JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2009
  Joined: May 25, 2008
  Messages: 260
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Heko kwa Mh. Mtei kwa kuandika kitabu hiki.
  [​IMG]

  From Goatherd to Governor is Edwin Mtei's autobiography. Its a a story of the journey a few Africans of his generation made, from humble begininings to heights of success and power. Mr. Mtei was the first Governor of the Bank of Tanzania and the architect of Central Banking in Tanzania, Secretary General of the East African Community and Minister of Finance in Nyerere's Government.

  Born in 1932 in Marangu, Moshi, he was brought up in a grass-thatched conical hut by his mother, a single parent; he attended 'bush' school at Ngaruma Lutheran Parish Church, and herded goats after lessons finished; he attended Old Moshi Middle and Tabora Secondary Schools and went to the Makerere University College in 1953. He graduated from there with a Bachelor of Arts degree in Political Science, History and Geography in 1957.

  In his own words he states: "I have felt it worthwhile starting right at the beginning of my life. In this way, I aim to give some idea as to what it was like growing up in my birthplace, Marangu, in the tribal and colonial environment of Tanganyika in the 1930s, 1940s and 1950s. I touch on some of the traditions and beliefs of those days and on some colonial laws that impacted on our lives and surroundings"

  But as he himself states: "The most interesting part of my story is that relating to the events when I held senior positions in Nyerere's Government, and in the public service generally." That includes his falling out with Mwalimu Nyerere over IMF and its polices, and his resignation from his past as Minister of Finance. For the first time he tells his side of that story.

  In 1992 Mr. Mtei threw himself deep into the waters of multiparty politics. He founded Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) - the Party for Democracy and Development - and worked tirelessly to see it grow and emerge as an important party in the oppositions, despite his own failure to win the parliamentary seat for Arusha Urban in the 1995 election.

  Even at 77 Mr. Mtei does not mince his words. He says what he believes and says it with courage and conviction. This is history, spanning well over half a century, written by someone who was involved in and who observed closely the key events of this time. He is retired and works on his far Ogaden Estate, but still manages to ruffle feathers whenever he is asked to comment on the economy and politics of Tanzania and East Africa.
   

  Attached Files:

 2. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  I will find one copy.. Je anazungumzia masuala ya uchumi pekee yake au na social affairs mengine, na pia kwa kuwa huyu jamaa ndiye anaweza kuona na kutoa mawazo yalio huru kweli kweli, Karibuni vyuo vyetu waweze kuvitumia na kuongeza maarifa yao
   
 3. G

  Gongagonga Member

  #3
  Sep 27, 2009
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 25
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Chadema mna kazi kubwa mwaka huu
   
 4. Kilasara

  Kilasara JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2009
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 578
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nimesoma kwa haraka kitabu hiki cha Mzee Mtei na maisha yake tangu utotoni. Ametoa Assessment ya Enzi ya Mwalimu Nyerere hasa katika Chapter 18. Hii ni sura inayokifanya kitabu kiwe muhimu kwa wana-zuoni.

  Nashauri Mhe. Mtei aruhusu kitabu hiki kitafsiriwe kwa Kiswahili ili Watanzania wengi zaidi waweze kuona maisha na maoni ya mwana-mageuzi wa enzi zake.
   
 5. M

  Masatu JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2009
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Umenena mkuu hapo
   
 6. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,814
  Likes Received: 321
  Trophy Points: 180
  Hivi kitabu kama hiki kinahamasisha nini? Wakati wa utoto wake, profession ya kijana yoyote ilikuwa kuchunga mbuzi. Hivyo katika kundi wachunga mbuzi, ukitaka kumpata gavana ni lazima atatoka kwenye kundi la wachunga mbuzi. Hakuna kitu cha kushangaza hapa.

  Lakini angekuwa ametoka kwenye kuchunga mbuzi wakati vijana wengi wakiwa wanatoka kwenye familia za well to do, tungeona kuwa alifanya juhudi.
   
 7. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Ni wachunga mbuzi wangapi unaowajua wewe wamefikia mafanikio ya Mzee Mtei?

  Lengo sio kutafuta cha ajabu au miujiza aliyofanya Mzee Mtei, bali ni kuhadithia njia alizopita; aliyojifunza, aliyokosea, aliyofanikisha na ushauri wake kwa wachunga mbuzi wa leo.

  Hilo kwako halitoshi..!!??
   
 8. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  The title may appear misleading as many normally associate the term "governor" as head of a territorial entity (i.e., a state or a province) and not so much as CEO of Central Bank.
   
 9. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Afadhali Mzee Mtei kaandika ukweli wake juu ya maisha yake; sasa tunangojea kitabu cha BWM tuone kama atakuwa mkweli kwa nafsi yake na kuanika uozo uliotokea wakati wa urais wake!!
   
 10. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #10
  Sep 30, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  the tittle may be misleading if you live in the us and other countries which use state sytem. for those of us who lives in TZ,UK and other african countries the governer is the CEO of central bank
   
 11. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Nimpongeze Mzee Mtei kwa kazi hii na niwapongeze Mkuki na Nyota kwa kuthamini kazi za wazalendo.

  Kwakweli, Mzee Mtei si tu ameandika kitabu bali kwangu mimi naona kama ni wosia kwa kizazi hiki cha sasa na kijacho kuishi na kuamini kuwa, mtoto wa Mkulima na mfugaji anaweza kupiga hatua za kimaendeleo si kwa lolote bali elimu ambayo itamvusha kutoka maisha ya aina moja, kama "kuchunga mbuzi" na kuelekea hatua mpya ya kimaendeleo katika maisha...kama "ugavana".

  Kadhalika ni changamoto kwa watunga sera,wapangaji maendeleo, asasi za kiserikali na kiraia...kuona kuwa kuna kuondokana na umasikini katika jamii zetu ni kwa kuwapatia elimu bora watoto wa masikini na kuwatoa vichakani (ujingani),kuanzia hapo taifa linaweza kupiga hatua likiwa na watu wasomi na wazalendo kama akina Mzee Mtei.
   
 12. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #12
  Oct 28, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,570
  Likes Received: 3,867
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa ku-excel in those days was easy, taabu ni kipindi cha sasa, wakati elimu mbovu, wazazi kipato hawana, serikali hawatoi mikopo, wawekezaji wanataka wanaojua kiingereza vizuri, wakati watu wanasoma shule za manzese kwa mfuga mbwa.

  Mtei nafurahi kipindi hicho alikuwa na misimamo mpaka akagombana na JK Nyerere, same Mtei akaanzisha chama, na juzi anakuja kuibaka demokrasia hivi hivi bila sababu za msingi.

  Mtei anasema CCM walipenyeza fedha pasi kuwataja ni akina nani waliopokea fedha.

  You know chachu kidogo huchachua donge zima!
   
 13. Mkaguzi

  Mkaguzi JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2009
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 249
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Just learn to apreciate even once! Changamoto aloleta huyu mzee kwenye demokrasia yetu c ya kubeza!wacha kuvunja ukuta kwa mlango kupauka rangi!
   
 14. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2009
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  changamoto gani? ya kubaka demokrasia Heri hta mapalala watu walijiita akina mapalala
   
 15. a

  alles JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2009
  Joined: Oct 14, 2006
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kitendo cha Mtei kutoka na autobiography ni cha kupongezwa sana sana!our national history ilikua inapotea kwa viongozi wetu wa kitaifa wa zamani kutotoa historia ya maisha yao na misimamo yao enzi izo ilikuaje. Mpaka wafe ndio tunapata brief histoy.Matokeo yake wakifa wanakufa na national history.

  Wengine wafuate..mfano mzee Kingunge Ngombare Mwiru(pamoja na ukinyonga wake) lakini ana historia ya TZ na serikali kwa ujumla kuanzia 1960'S.Wasiwasi wangu akifika bila kuacha serious Autobiography ataondoka na historia ya taifa letu.Naomba kutoa hoja.
   
 16. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Nafikiri ni wazo la kuungwa mkono kuweka katika maandishi historia yake kwa manufaa ya vizazi vijavyo vya nchi yetu. Bado naamini kuna wengi waliotoa mchango positive na negative lakini hatujui chochote kwasababu hakuna initiative ya kuandika nini public figures wanafanya.

  Tukumbuke, reference nyingi hata za nchi zilizoendelea sasa zinafanyika kwa kuangalia pia na wale waliopita nyuma walifanya nini. Namna bora ya kuwezesha reference hizo kufanyika ni kuandika vitabu.

  Na kubwa pia ni kuimarisha maktaba zetu ili watu wengi zaidi waweze kujisomea vitabu hivyo. Tukumbuke elimu ni muhimu sana na uchawi wote wa mambo yanayoendelea leo duniani uko kwenye vitabu. Tusiache kuvisoma.
   
 17. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2009
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  nampongeza kwa kuzindua kitabu cha historia yake......
  laiti ingelikuwa watanzania wengi tuna hulka ya kuandika vitabu, basi na hulka ya kupenda kusoma vitabu pia ingesambaa.

  unaweza kupinga content iliyomo kama hukubaliani nayo, lakini ni better kuandikwa kwanza kwa uchambuzi
   
 18. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Ku excel zamani au sasa hakuna kipindi iliwahi kuwa rahisi,acha uvivu na visingizio,piga kazi tafuta pesa.

  Wapo waliosoma manzese kwa mfuga mbwa na ngeli wanaichapa vizuri tu,tatizo wewe ulikuwa unaona soo kuongea kiingereza kwa kuogopa utakosea na kuchekwa ndiyo maana hujui.

  Wabongo tuache haya mambo ya visingizio,elimu hii hii unayoiona mbovu kuna watu wanatoka na wanakamata position nzuri tu na hawajasoma international wala hawajawahi hata kwenda ulaya before kupata elimu "bora".

  Kiingereza hata ukiamua serious sasa hivi kujifunza in one year time utakuwa mbali sana. Acha visingizio, komaa utafika tu. Naweza kukupa mifano ya watu waliosoma St. Kanumba na wana position nzuri ambazo wamepata bila upendeleo.

  Tatizo letu wabongo tunapenda visingizio wakati uzembe ni wetu wenyewe. Kipindi kile secondary tunavalishwa kibao shingoni ukiongea kiswahili tulikuwa tunaona kama upuuzi. Walimu walikuwa wanajua kiswahili cha kuongea na kiingereza cha kuandika tunajua kiasi,ila walitaka tujue kiingereza cha kuongea pia ambacho tunakijua kwa practice.
   
 19. k

  kanda2 JF-Expert Member

  #19
  Oct 28, 2009
  Joined: Apr 22, 2007
  Messages: 1,318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Huyu mzee hakuwa gavana kwa merit bali alibebwa na nyerere ndio maana uchumi ukafa.kwenye hicho kitabu kaeleza alivymzuia zitto kabwe ili mwanawe awe mwenyekiti?

  Ni kitabu cha kikabila zaidi kuliko utanzania.ndio maana mengi amepewa nafasi kubwa.huyu mzee anatapata tu
   
 20. W

  WildCard JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2009
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Mzee Mtei aliondoka kwenye utumishi wa umma bila doa. Tunampongeza sana kwa kuyahimili mashinikizo ya ndugu, jamaa, marafiki na hususan kabila lake.
   
Loading...