isambe
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 2,195
- 1,410
Hizo za upande wa pili si tayari tumesha zisikia ndugu mara tele,Yeye alichofanya nikutugeuzia upande wa pili wa coin,unadhani haya ya M23,tungeyajuaje bila ya yeye kuthubutu?,naona unakata tawi ulilokalia,hebu soma vizuri hiyo paraghraph yake ya mwisho uliyo mquote na ukaihighlight kwa wino mwekundu,ielewe vizuri then urudi.