From Dar to Arushaaaa.......

From Dar to Arushaaaa.......

nitakiweka wap weye?
attachment.php


Hii kitu inabebeka kaka hata kwenye viatu nifichie kete mbili mwenzio nije kuzungusha mana nimeimis ya Rchuga
 

Attachments

  • marrr.jpg
    marrr.jpg
    11.6 KB · Views: 80
daah nimepata fununu kua njia ya kwenda hom wameweka taa ni kwel et

ni kweli stevoh,jiji limenoga siku hizi usipime,njoo utajionea mwenyewe,ina maana kwenu ni unga ltd nn,maana franceconer ndio imewekwa hyo mitaa
 
Back
Top Bottom