From ban with love

From ban with love

Karibu tena Chimbuvu! Ila bado natamani Mods wawe wanawapiga ban na wale wanaowasababishia wenzao ban kwa makusudi! I dont know how to present this ila natamani Mods wasome thread na trend ya majibizano ili ikiwezekana anayemsababishia mwenzie ban ashughulikiwe. Naamini itasaidia sana!
 
Last edited by a moderator:
Tenyaaaa
hasa na warembo kama nyie.
Hata nami nakumiss.
Madame B acha hizooo, hakuna urembo hapa.

Ulivyo hivyo, hata anaekuibia mume hajiulizi? Na huyo mume aibwe akatafute nini wakati umekamilika kila idara lol.
 
Last edited by a moderator:
Dah my wyf netweki ilikuwa imekimbia ndio imerudi sa hv, ila kwa maneno haya mazito nimejikuta nikitokwa na machozi kwa upendo wako my wyf.

Chimbuvu

Chimbuvu mpenzi,
najua Ulinikumbuka sana kwa kuwa ulikuwa mbali nami.
Nami napenda niseme na Kukiri hadharani na Mbele ya wana ChitChat wote kuwa,
Nakupenda,Nakujali,Nakuthamini na Kubwa kuliko yote Nashukuru kwa Upendo wako Kwangu Chimbuvu.

Pole kwa Kupewa Ban,ila hata hivyo ukiwa na mpenzi anaekujali na kukuheshimu ni lazima uhangaike pale apatapo tatizo,nami ndivyo nilivyofanya.
Sina mengi ya kusema,
But salute kwa Kiongozi Maxence Melo,
Najua bila wewe, Madame B & Chimbuvu.....
Ngoja niishie hapo.

Thank you Chimbuvu.
Your wfy,
Madame B.

CC: Chilli, noahism, Donn, stevoh na Baba V.
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli hili suala walifikishiwa thanx to @invinsible na @maxence mello na wameshalifanyia kazi

Back
Top Bottom