Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,266
Your mobile No. has won 415,000pounds in Nokia UK END OF YEAR Promo. For claims send your name & No. via Email to: nokiapaycenter@london.com & call +447024032938
Habari ndio hiyo. Huu ujumbe nimeamka asubuhi nikakuta ziko sms 5! Nikazifuta zote. Baadae tena wananitumia, and i ask to myself, is cameron at work? Anayezihitaji nani nimpe namba yangu?
Mimi nimetumiwa ujumbe huo ujumbe kutoka namba nyingine inaanzia +49 ... wanieleza ati nimeshinda NOKIA END OF YEAR PROMO wakati mimi natumia simu aina tofauti, niliwaacha kama waqlivyo nikakaa kimya. Hao ni matapeli, na si vizuri kuanza nao mawasiliano kwani watakusumbua sana wakitaka hiki hadi kile, lengo hela zako. Beaware, Western Africans at work!!!
View attachment 42029wezi wenyewe hawa hapa.
Your mobile No. has won 415,000pounds in Nokia UK END OF YEAR Promo. For claims send your name & No. via Email to: nokiapaycenter@london.com & call +447024032938
Habari ndio hiyo. Huu ujumbe nimeamka asubuhi nikakuta ziko sms 5! Nikazifuta zote. Baadae tena wananitumia, and i ask to myself, is cameron at work? Anayezihitaji nani nimpe namba yangu?
Usiache kuongea, make kila uongeapo upupu, sifa zinaongezeka!Nyie zubaeni, mimi nimeshashinda mara 2 na hapa nilipo hata sijui hela zingine niweke wapi manake akaunt zangu zimejaa sasa.
Usiache kuongea, make kila uongeapo upupu, sifa zinaongezeka!