Friji yangu inanisumbua

Friji yangu inanisumbua

Benzoic

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
421
Reaction score
149
Wadau , habari...
Nina friji langu la Boss linawaka lakini ndani hakuna ubaridi wowote hata ukiliwasha kwa masaa 48
*********nitafurahi kupata msaada wenu****************
 
mafundi wa bongo c wataiba kila kitu kaka...najua hapa nitapata confidence ya kuamua nifanye nini kabla sijamtafuta fundi
 
Litakuwa limeisha gesi labda. Ni vizuri uwaone mafundi.
 
kama utaitaji kulitengeneza au utaitaji kununua lingine jipya la mtumba au brand new nichek 0713388226
 
kama utaitaji kulitengeneza au utaitaji kununua lingine jipya la mtumba au brand new nichek 0713388226
kaka nitahitaji kulitengeneza kwa 7bu ni almost jipya kabisa...nimechukua namba yako
 
jipya lina garantee kabadilishe, kama mafundi wataiba kila kiti geza kabati la vyombo au nguo!
 
mkuu hilo limeisha gas na gas kuisha lazima kuwe na ufa kwenye bomba ya gas. wacheck mafundi wataziba na kukujazia gas upya.
 
Back
Top Bottom