friji ya kiafrika

friji ya kiafrika

BAK umenikumbusha mbali sana, maji yake huwa hayanuki clorine bana yanakauwa na harufu ya udongo wa mtungi lol halafu ni ya baridi ile mbaya. sasa hivi tunataka kuziadvance hizi tuziekee membrane filters zenye micropores 4mm yaani ili zitumike kuchuj maji kwa watu wa vijijini ishu imekuwa ngumu kwenye utunzaji yaani ikivunjika ndo basi tena. pia ikisha clog hiyo filter mtumiaji ataaboreka nayo so ataaidiscard despite gharama ambazo serikali imeinvest kwenye hiyo filter.

@Gfsonwin, ndoo gani ambazo zinavunjika? ni zile za plastick au za bati? Aisee matatizo ya maji nchini yamesababisha vifo vingi sana vya Watanzania. Hakukosea yule aliyekuja na msemo, "Maji ni uhai."
 
@Gfsonwin, ndoo gani ambazo zinavunjika? ni zile za plastick au za bati? Aisee matatizo ya maji nchini yamesababisha vifo vingi sana vya Watanzania. Hakukosea yule aliyekuja na msemo, "Maji ni uhai."

si na maana ya ndoo iangalie "ndo" yangu haina double oo. hapa namaanisha hizi earthwarestukiziwekea hizi membrane filters je itakapopasuka hii mitungi huoni itakuwa hasara? manake ni very expensive sana ila tu ni msada wa wa korea katika improvement ya drinking water at household level so bado hatujajua tufanyeje. na ujue vijijini kuna objection sana ya unywaji wa maji kutoka kwenye vyombo vya plastik hasa ndoo wanakataa harufu ya plastiki materials.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

lol! neno ndoo na sentensi yako vinaendana sana 🙂🙂 vyombo vya plastick kusema kweli si vizuri hata kidogo sasa hivi sehemu nyingi duniani vinapigwa vita sana katika matumizi ya kupashia chakula moto kwa kutumia microwave kwa kudaiwa kwamba material zinazotumika katika utengenezaji wake zinaweza kuyeyuka na kuchanganyika na chakula hivyo kuleta athari kubwa katika siku za usoni za magonjwa mbali mbali ikiwemo cancer.
 
lol! neno ndoo na sentensi yako vinaendana sana 🙂🙂 vyombo vya plastick kusema kweli si vizuri hata kidogo sasa sehemu nyingi duniani hivi vinapigwa vita sana katika matumizi ya kupashia chakula moto kwa kutumia microwave kwa kudaiwa kwamba material zinazotumika katika utengenezaji wake zinaweza kuyeyuka na kuchanganyika na chakula hivyo kuleta athari kubwa katika siku za usoni za magonjwa mbali mbali ikiwemo cancer.

ni kweli kabisa BAK lakin tunaweza kufanya synthesis ya plastic wares kutoka kwenye vitu tofauti zaid ya mipira tunayoitegemea. Istoshe kwa maisha ya kijijini mtungi ni delicate hasa wakati wa kutreat majia kwani hauwez kuwa na life span kubwa na pia gharama yake ni kubwa sana ili tuweze kuprocess uweze kukidhi haja.

Sasa hivi tunafikiri kutumia nyenzo ta TATEDO ambao wao wanatengeneza mitungi mkubwa sana kwenye majiko kwa ajili ya kuchemsha maji but tunataka wautengeneze the same design ila tuuekee koki na filter ili maji yaweke na dumu kama kwenye water cooler membrane ichuje mtu akinge kupitia koki. may be hii inaweza kuwork out.
 
Last edited by a moderator:

Mie nawatakia kila la heri ili mfanikiwe maana kufanikiwa kwa hili linaweza kupunguza vifo vya Watanzania wengi nchini vinavyosababishwa na matumizi ya maji machafu. Kuna sehemu nyingi nchini sehemu wanazochota maji wanayotumia kunywa, kufulia na kupikia kwa kweli zinakatisha tamaa sana kwa jinsi zilivyojaa uchafu uliokithiri ambapo unaweza hata kuogopa kutia mguu kwenye vyanzo hivyo vya maji.
 
Hapo poa umezingatia masharti na vigezo pongezi sana
 
Back
Top Bottom