......kama utahitaji pesa yako hata kama halijasumbua nitakurudishia kama nitakuwa nayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya kizamani hayo, hapa nipo seriousAngalieni isije kuwa mtego wa kujua namba zenu.
Acha kujiingiza mkenge wewe, likiunguzwa na umeme wa Tanesco?
Acha kujiingiza mkenge wewe, likiunguzwa na umeme wa Tanesco?
Nakubaliana nawewe. Wengine si waangalifu halafu likiharibika anakuridishia msala. Atoe waranty ya mwezi mmoja tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu uko sahihi sana kuandikishana,na biashara yyt nzur inataka hivyo,...ila naonana kwa tulivyo sie wabongo wengi ikifa mkononi mwangu kwa uzembe wangu bado baadhi yetu tutakulaumu na kutaka urudishe mkwanja km maandishi ya mauziano yatakavyosema,hapo nashauri tyu kuwa usijekuingia cha kike kwa hii shida ndogo ulonayo ss then ukatoa kifaa chako piru kabisa halaf baadae mteja akaja kukulazimisha urejeshe fedha kwa uharibifu aloupata,..wapo wateja wazuri tyu utawapata hasa ukizingatia mzigo huo unaonekana bado upo vzr kuliko kutoa guarantee ya kupitiliza man,Mwenye kujua thamani ya hio zaga akaikagua na kuipenda ataibeba kiroho safi bila maswali mingi,kila LA heri boss naimani hadi ss wapo wenye mkwanja wao washaitamani na watakuja kiroho fanta
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo suluhisho ni dogo, wakati wa kuandikishana anaitwa fundi ambaye analikagua na kuandika taarifa muhimu kuhusu ukaguzi wake na ukaguzi inafanyika pande zote mbili zikiwepo. Endapo litatokea tatizo fundi ataitwa, ukubwa wa tatizo utaangaliwa na kama ni tatizo ambalo pengine limesababishwa na mnunuaji ambalo awali yalikuwepo basi muuzaji ndie atakae wajibika.Mkuu uko sahihi sana kuandikishana,na biashara yyt nzur inataka hivyo,...ila naonana kwa tulivyo sie wabongo wengi ikifa mkononi mwangu kwa uzembe wangu bado baadhi yetu tutakulaumu na kutaka urudishe mkwanja km maandishi ya mauziano yatakavyosema,hapo nashauri tyu kuwa usijekuingia cha kike kwa hii shida ndogo ulonayo ss then ukatoa kifaa chako piru kabisa halaf baadae mteja akaja kukulazimisha urejeshe fedha kwa uharibifu aloupata,..wapo wateja wazuri tyu utawapata hasa ukizingatia mzigo huo unaonekana bado upo vzr kuliko kutoa guarantee ya kupitiliza man,Mwenye kujua thamani ya hio zaga akaikagua na kuipenda ataibeba kiroho safi bila maswali mingi,kila LA heri boss naimani hadi ss wapo wenye mkwanja wao washaitamani na watakuja kiroho fanta
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo suluhisho ni dogo, wakati wa kuandikishana anaitwa fundi ambaye analikagua na kuandika taarifa muhimu kuhusu ukaguzi wake na ukaguzi inafanyika pande zote mbili zikiwepo. Endapo litatokea tatizo fundi ataitwa, ukubwa wa tatizo utaangaliwa na kama ni tatizo ambalo pengine limesababishwa na mnunuaji ambalo awali yalikuwepo basi muuzaji ndie atakae wajibika.
Kama bei itapungua kufikia 500,000/= nipatie contact pm tufanye biashara
Umelitumia muda gani?
Sent from my iPhone using JamiiForums