Friji la kisasa linauzwa

Friji la kisasa linauzwa

Yaan mkuu nataman hata niliweke bond tu, nikipata hela nimrudishie nichkue fridge langu, maana hata kwa sasa hulipati kwa 1.2M

Sent using Jamii Forums mobile app
Usitoe warranty kubwa kwa Hilo dude utakuja kujuta, vitu vya umeme havinaga garantii
La kwangu pia ni kama Hilo lako, na lilipata hitilafu likiwa jipya kabisa, LG Wakanibadilishia, wewe una bahati halijasumbua naona unajiingiza mkenge kwa kutoa warranty ya third party
Ni vile tu Sina pesa ila bei yako ni reasonable Sana na kweli umeshikika

Mkuu kwan warranty natoa Mimi, warranty wametoa wwnyewe LG na wameandika miaka 10, si mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia kuna Home theatre , Sony bei 700,000 tu
Note : Nauza kimojawapo tu.

Either fridge or Home theatre, siuz vyote
Screenshot_20200112-153254.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
katika hii biashara yako,mgao wa TRA ni kiasi gani kama ambavyo sheria ya kodi ya mwaka 2004 ilivyoelekeza?
 
Kweli hapo sio mbaya mkuu
Hapo suluhisho ni dogo, wakati wa kuandikishana anaitwa fundi ambaye analikagua na kuandika taarifa muhimu kuhusu ukaguzi wake na ukaguzi inafanyika pande zote mbili zikiwepo. Endapo litatokea tatizo fundi ataitwa, ukubwa wa tatizo utaangaliwa na kama ni tatizo ambalo pengine limesababishwa na mnunuaji ambalo awali yalikuwepo basi muuzaji ndie atakae wajibika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fact

Back
Top Bottom