Friji la kisasa linauzwa

Friji la kisasa linauzwa

Akili Sina

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2018
Posts
303
Reaction score
2,249
Fridge Brand : LG
Bado jipya kabisa
Ni energy server, (Linatumia umeme kidogo, Linajiwasha na kujizima automatically)
Lina Party ya Freezer (kugandisha) na kawaida
Lina warranty ya miaka 10.
Bei ni 800,000/- tu , (Dukan ni 1.2M, risiti zipo)
Lipo Dar , mwenye kuhitaji aje PM
IMG_20200111_075214.jpeg
IMG_20200111_075210.jpeg
IMG_20200111_075149.jpeg
IMG_20200111_075315.jpeg
IMG_20200111_075256.jpeg
IMG_20200111_075222.jpeg
IMG_20200111_075323.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndio huwaga pagumu,,na kwa sasa anae shida na pesa,ukikaa nalo mwezi likabuma cjui km hio 800k itakuwepo,,,nadhani muuzaji ingetosha sana kusema tyu kuwa chombo iko poa,na ukataja muda specific uloitumia ukiambatisha na risiti ya manunuzi ikionyesha tarehe ilonunuliwa,,,,haya maswala mengine MTU akiichukua ikiwa nzima basi akaitumie kiuangalifu na ikibuma huko ni ya kwake
Utaratibu ukoje wa kurudisha endapo litanisumbua .... Na ikitokea nkarudisha utakua na hiyo hela cash??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaweza kuandikishiana popote atapotaka
Hapo ndio huwaga pagumu,,na kwa sasa anae shida na pesa,ukikaa nalo mwezi likabuma cjui km hio 800k itakuwepo,,,nadhani muuzaji ingetosha sana kusema tyu kuwa chombo iko poa,na ukataja muda specific uloitumia ukiambatisha na risiti ya manunuzi ikionyesha tarehe ilonunuliwa,,,,haya maswala mengine MTU akiichukua ikiwa nzima basi akaitumie kiuangalifu na ikibuma huko ni ya kwake

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndio huwaga pagumu,,na kwa sasa anae shida na pesa,ukikaa nalo mwezi likabuma cjui km hio 800k itakuwepo,,,nadhani muuzaji ingetosha sana kusema tyu kuwa chombo iko poa,na ukataja muda specific uloitumia ukiambatisha na risiti ya manunuzi ikionyesha tarehe ilonunuliwa,,,,haya maswala mengine MTU akiichukua ikiwa nzima basi akaitumie kiuangalifu na ikibuma huko ni ya kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana nawewe. Wengine si waangalifu halafu likiharibika anakuridishia msala. Atoe waranty ya mwezi mmoja tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom