Wakuu kuna dada nilikua natoka nae sasa leo kaniambia eti anaomba tubaki marafiki tu! wa kawaida eti kama nitakua namuhitaji atakua anakuja tupige mambo.
Hii imekaa vipi kuna mtu ilishawai mtokea embu tupeane kidogo mawazo.
Jiandae kuletewa kadi ya mchango wa Kitchen party na baadaye ya Send off.Wakuu kuna dada nilikua natoka nae sasa leo kaniambia eti anaomba tubaki marafiki tu! wa kawaida eti kama nitakua namuhitaji atakua anakuja tupige mambo.
Hii imekaa vipi kuna mtu ilishawai mtokea embu tupeane kidogo mawazo.
Ngoja nimwache aende tu mkuu sababu simuhitaji kivileNi kweli mkuu mahusiano yakichukua muda mrefu sana bila kuwa na dalili ya kuja kuwa mume na mke,lazima mambo ya namna hiyo yatokee.....anataka na yeye aitwe mke.Sasa wewe ndio wa kumbadilisha kama unamuhitaji kuwa mke.
Hapa umenifungua kichwa ngoja nimwache aende atanisumbua huyuItakuwa huna pesa lakini unajua kufcuk
Jamaa aliyempata anazo pesa ila hajui kufcuk
So anachofanya ni kuhakikisha anatumia available resources effectively...yaani pesa anapata kwa jamaa mwingine halafu masuala yake ya genye unamaliza wewe
Duh hii mbaya sanaUmeshakuwa mchepuko.
Oooh jula ntitu ntali???Gumbhwibhibhwe eeh, Lusubilo jula ugwa pala[emoji3] [emoji3]
Ata mm nimeona bora hakuna kugandana gandana bhana hila namuachaHiyo ndo nzuri. No string attached
Na mimi nimewaza sana namwambia basi hakuna tena mapenzi hapaKama kwenye mpira hiyo ina maana umeshushwa daraja.
Amekuangalia na ameona kabisa unachohitaji ni ngono tu hivyo ameamua kwa makusudi kukuachia ngono na wewe umuachie maisha yake.
Cha kufanya; na wewe mwambie basi muishie hapo.
Lusubilo Aliku???
Itakuwa huna pesa lakini unajua kufcuk
Jamaa aliyempata anazo pesa ila hajui kufcuk
So anachofanya ni kuhakikisha anatumia available resources effectively...yaani pesa anapata kwa jamaa mwingine halafu masuala yake ya genye unamaliza wewe
Madem kama hao nawatafuta sana.....
Love ya kibabee....
Sio hizi za kubanana bananaa.....
Gumbhwibhibhwe eeh, Lusubilo jula ugwa pala[emoji3] [emoji3]
Hawakawii kukuletea magonjwa hao, maana ni jimbo lipo wazi bado