Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,302
- 9,807
Ukiona hivyo basi tambua tayari kuna colabo ya featuring...Wakuu kuna dada nilikua natoka nae sasa leo kaniambia eti anaomba tubaki marafiki tu! wa kawaida eti kama nitakua namuhitaji atakua anakuja tupige mambo.
Hii imekaa vipi kuna mtu ilishawai mtokea embu tupeane kidogo mawazo.
Lusubilo Aliku???Sio Lusubilo huyo?
Mkuu hili jambo inawezekana kabisa ngoja nifuatilieUkiona hivyo basi tambua tayari kuna colabo ya featuring...
Yeye anavyodai et kaona kabisa mimi ninampotezea muda ataki kuja kuumia kwa ajili yanguInategemea na malengo yako kwake,ila ninavyoona atakuwa na mtu ambaye amemuahidi ndoa ndio maana anajaribu kujihami
Nimeamua kumuoa kabisaAisee wanawaume tunaelekea kukwisha ili nalo la kuitaji mawazo
Aya we umeamua nini?.
Tafsiri yake ni kwamba Kwenye mahusiano yako na huyo mwanamke huna unachotoa zaidi ya sex, ameshampata mwenye malengo naeWakuu kuna dada nilikua natoka nae sasa leo kaniambia eti anaomba tubaki marafiki tu! wa kawaida eti kama nitakua namuhitaji atakua anakuja tupige mambo.
Hii imekaa vipi kuna mtu ilishawai mtokea embu tupeane kidogo mawazo.
Nimekuelewa mkuuTafsiri yake ni kwamba Kwenye mahusiano yako na huyo mwanamke huna unachotoa zaidi ya sex, ameshampata mwenye malengo nae
Ni kweli mkuu mahusiano yakichukua muda mrefu sana bila kuwa na dalili ya kuja kuwa mume na mke,lazima mambo ya namna hiyo yatokee.....anataka na yeye aitwe mke.Sasa wewe ndio wa kumbadilisha kama unamuhitaji kuwa mke.Yeye anavyodai et kaona kabisa mimi ninampotezea muda ataki kuja kuumia kwa ajili yangu
Nimeamua kumuoa kabisa
For us, christians, that kind of friendship wouldnt be supportedWakuu kuna dada nilikua natoka nae sasa leo kaniambia eti anaomba tubaki marafiki tu! wa kawaida eti kama nitakua namuhitaji atakua anakuja tupige mambo.
Hii imekaa vipi kuna mtu ilishawai mtokea embu tupeane kidogo mawazo.
Gumbhwibhibhwe eeh, Lusubilo jula ugwa pala[emoji3] [emoji3]Lusubilo Aliku???
Gumbhwibhibhwe eeh, Lusubilo jula ugwa pala[emoji3] [emoji3]