ila ki ukweli kuna watu mnajua kuumiza watu huku dunia acha kabisa! kwa nini mnapenda kuact uzungu wakat mnajua fika si wazungu!
hebu geuza shiling dada, chukulia ndo mme wako katuma sms kama hiyo kwa mtu anayemwita rafiki yake, ungesemaje wewe? achane kucheza na mioyo ya watu jaman...! yaan nimeumia kama mimi vile...!
nyie ndo mnaosababishaga watu kujiua au kuanza tabia chafu dunia, FRIEND MY FOOT........!
umenikera kama nakuona
Natamani niachane na hawa watu ila kiukweli nashindwa, nahitaji ushauri hasa wa mwana saikolojia aliyebobea, sipendi kuumiza wanawake wenzangu lakini hawanielewi,nami siwalaumu nakiri nakosea kwa sababu mume anauma jamani.
Ni hivi sijui hata nianzie wapi ila nahisi nimemuumiza mwanamke mwenzangu kwa hisia .nasema kwa hisia sababu cjafanya kila anachonihisi nimefanya kwa mmewe sema tu ushahidi haujatosha kua upande wangu.
Nimezoea kuwaita frends with benefit, sasa mmoja wa hao mafrend zangu ameoa , nimezoeana nae kupita kiasi inshort i fil happy being with him(naomba niweke kwenye mabano cjashiriki nae since nijuane nae coz hicho hakijasababisha urafiki wetu, tunasaidiana sana naweza sema ananisaidia kuliko mimi nimsaidiavyo, ananipa kampani ya kutosha kila mazingira yakiruhusu.kiukweli ni rafiki yangu ambaye yupo moyoni naweza sema .
Last wiki katika kuchat akatuma message , nimekumis mpenzi wangu nowadays majukum ya familia yanatubana ila tujitahidi tukipata nafasi tuonane. Utaniambia mda wako.on ma way home.
mkewe anafaham uwepo wangu kama rafiki wa mmewe bt i wonder y imemuumiza kipindi hiki amemwambia mme wake basi awe anakuja kwangu daily kwake basia ye atatafuta atakayemthamini.
Niwarudishe nyuma kuna kipindi alinipigia simu akaniambia dada natamani mme wangu angenipenda kama anavyokupenda wewe, kiukweli naumia natamani anielewe uhusiano wangu na mmewe ukoje ila pia upande wa pili nahisi ni mkosaji.
Sasa ugomvi kwao umekua siku ya tano sasa, mme wake kaniomba nifanye juu chini nimtafute mkewe nimwambie juu ya hilo atusamehe. Nimeamua kumfuta huyu frend with benefit kichwani mwangu ingawa pia itanichukua mda kukubaliana na ukweli.
Naomba mawazo nifanyaje bi dada aweze kutusamehe na kurudisha moyo kwa mmewe.
Urafiki wako na huyo mume wa mtu unaingilia unaathiri ndoa ya mwanamke mwenzako.
Wewe una mume/mchumba/rafiki wa kingono?
Sorry but wewe ni mpumbavu sana....marriage is a relationship between wife and husband, you have destroyed that relationship kisha eti unahitaji psychologist wa kukushauri.....you are only alive because it is illegal to kill you.
Natamani niachane na hawa watu ila kiukweli nashindwa, nahitaji ushauri hasa wa mwana saikolojia aliyebobea, sipendi kuumiza wanawake wenzangu lakini hawanielewi,nami siwalaumu nakiri nakosea kwa sababu mume anauma jamani.
Ni hivi sijui hata nianzie wapi ila nahisi nimemuumiza mwanamke mwenzangu kwa hisia .nasema kwa hisia sababu cjafanya kila anachonihisi nimefanya kwa mmewe sema tu ushahidi haujatosha kua upande wangu.
Nimezoea kuwaita frends with benefit, sasa mmoja wa hao mafrend zangu ameoa , nimezoeana nae kupita kiasi inshort i fil happy being with him(naomba niweke kwenye mabano cjashiriki nae since nijuane nae coz hicho hakijasababisha urafiki wetu, tunasaidiana sana naweza sema ananisaidia kuliko mimi nimsaidiavyo, ananipa kampani ya kutosha kila mazingira yakiruhusu.kiukweli ni rafiki yangu ambaye yupo moyoni naweza sema .
Last wiki katika kuchat akatuma message , nimekumis mpenzi wangu nowadays majukum ya familia yanatubana ila tujitahidi tukipata nafasi tuonane. Utaniambia mda wako.on ma way home.
mkewe anafaham uwepo wangu kama rafiki wa mmewe bt i wonder y imemuumiza kipindi hiki amemwambia mme wake basi awe anakuja kwangu daily kwake basia ye atatafuta atakayemthamini.
Niwarudishe nyuma kuna kipindi alinipigia simu akaniambia dada natamani mme wangu angenipenda kama anavyokupenda wewe, kiukweli naumia natamani anielewe uhusiano wangu na mmewe ukoje ila pia upande wa pili nahisi ni mkosaji.
Sasa ugomvi kwao umekua siku ya tano sasa, mme wake kaniomba nifanye juu chini nimtafute mkewe nimwambie juu ya hilo atusamehe. Nimeamua kumfuta huyu frend with benefit kichwani mwangu ingawa pia itanichukua mda kukubaliana na ukweli.
Naomba mawazo nifanyaje bi dada aweze kutusamehe na kurudisha moyo kwa mmewe.
nina mume na kaniambia nilikuonya hukunisikia, yamekukuta.
kuna kipindi ilitokea hivyo kwangu bt mme wangu nilipomhadithia hakuniamini akafanya utafiti kwa mda wake akaja gundua hakukua na kinachoendelea, na akanionya si kila mtu ataweza elewa
HUna mume acha kudanganya...hakuna mwanaume anayeweza kumruhusu mkewe kuwa bize katika urafiki na mwanaume mwingine ambaye ni mume wa mtu ilhali anajua kuwa inaweza kumwathiri mke wa jamaa...you are just aa professional cunt. Period!!!
Kahaba wa akili.
Sasa ugomvi kwao umekua siku ya tano sasa, mme wake kaniomba nifanye juu chini nimtafute mkewe nimwambie juu ya hilo atusamehe. Nimeamua kumfuta huyu frend with benefit kichwani mwangu ingawa pia itanichukua mda kukubaliana na ukweli.
Naomba mawazo nifanyaje bi dada aweze kutusamehe na kurudisha moyo kwa mmewe.
Je, mume wako hawezi kuwa rafiki yako?nina mume na kaniambia nilikuonya hukunisikia, yamekukuta.
kuna kipindi ilitokea hivyo kwangu bt mme wangu nilipomhadithia hakuniamini akafanya utafiti kwa mda wake akaja gundua hakukua na kinachoendelea, na akanionya si kila mtu ataweza elewa
Either hutaki kukiri kwamba jamaa umempa mambo ama hujui definition ya 'friends with benefits'.
Kusaidiana ni sifa ya urafiki its not a benefit in friendship. Benefit ni 'kumpa mambo' ambapo ni sifa ya romantic relationship
Acha kumuumiza mwanamke mwenzio na kumuwekea kigiza kwenye ndoa yake. Si ukatafute yako? Shosti mwenzio kapambana kumpata mwache afaidi. Sio kumuwekea giza kwa kofia ya FRIEND. Halafu huu urafiki wa swala na simba huu!!!!
Je, mume wako hawezi kuwa rafiki yako?
Urafiki sio kitu kibaya, lakini urafiki wako na huyo mume wa mtu unaathiri ndoa ya mwenzako, na sijui ulimuelewaje huyo dada alivyokuambia anatamani mumewe angempenda kama anavyokupenda wewe...ulitakiwa utafakarina kumwambia rafikiyo aonyeshe Mapenzi kwa mkewe.
Mfanye mume wako kuwa rafiki. Huo urafiki na mume wa mtu hautakuwa na mwisho mzuri.
afu we Suprise bana kila siku unakuja na masuprise mapya ningekuwa mie ndo huyo dada ningekung'oa meno...hujambo lakini?