Speaker
JF-Expert Member
- Aug 12, 2010
- 6,324
- 2,244
Jiunge nasi uone Mahusiano ya tofauti,karibu katika ulimwengu
wa uhalisia,njoo ujue umbali unao weza kwenda zaidi ya ulipo.
Usiboreke weekend hii,huhitaji kwenda Club,njoo uone utofauti.
Sitegemei Smile kukosa,karibisha wengine.
wa uhalisia,njoo ujue umbali unao weza kwenda zaidi ya ulipo.
Usiboreke weekend hii,huhitaji kwenda Club,njoo uone utofauti.
Sitegemei Smile kukosa,karibisha wengine.
Je,unataka kuongeza marafiki creative?
Unataka kuongeza network ya watu kama wewe?
Unataka kuburudika kwa kutazama vipaji vya comedians na wana muziki wengi na wanaokubalika mujini?
Unataka kuuanza mwezi wa pili vyema kwa kuburudisha nafsi,kuchana mbavu?
Last edited by a moderator: