Friends of E. Lowassa

Lowassa atuambie zile nyumba 42 alizokuwa anamiliki wakati akifanya sherehe yake ya kuzaliwa akiwa na miaka 42 alizipataje ? Tena maeneo nyeti kama Oysterbay, Mikocheni na Masaki ? Baada ya kujua hilo ntakuwa FRIENDS OF LOWASSA

Wewe ndugu ni mgeni Tanzania? Akiwa Waziri mdogo katika ofisi ya Waziri Mkuu Malecela, alipewa rushwa ya Malecela, ilikuwa kitu kidogo baada ya Malecela kisaini Tanzania kutumia magari ya Kijapani tu. Pesa za hongo zililetwa Malecela hayo, Lowassa akaona kwakuwa Wajapani washaenda zao akaona hazina mwenyewe, akawekeza nchi nzima. Ila baadae alimrudishia Malecela kidogo baada ya uwekezaji kumlipa.
 
Fisadi Lowassa na Urais kwa tiketi ya CCM. Yaani hadi raha, Fisadi anayetaka kupeperusha bendera ya Chama chake!!
Kweli Fisadi Lowassa ndiye 'dume la mbegu' la wanaCCM wote 2015.

Je Zanzibar ambamo Amani Karume amemporakila mtu kiwanja au nyumba kwa lazima ikiwemo kuuza majengo ya serSerikali mfano ofisi ya Registrar of Companies kwa Ali Bawardi, na kumiliki kampuni ya Usajili wa Meli zinazofanya biashara ya Usafiri wa Madawa ya Kulevya Dunia nzima zikiwemo zile zinazobeba mafuta gharamu ya Iran. Bila kughusia marafiki zake waingizaji madawa kwa kushusha baharini meli kubwa toka Pakistan zikipita mbele ya Zanzibar, kuanzisha na kulinda kundi la Uamsho ili wamfanye Mfalme wa Zanzibar kinguvu. Je wewe uliwahi kumkosoa?
 
Poleni sana wenye fikra changa. Historia inatuonesha kuwa lowasa ametokea familia yenye uchumi imara. Halafu haka katabia cha watu kuongea uongea kanakera sana. Hivi aliyewaambia kuwa tajiri umepoteza sifa za kuwa kiongozi ni nani? Kama ni mwizi mbona hashitakiwi? Ni mahakama pekee ndiyo itatuambia kama fisadi au siyo ila nje ya hapo ni kiongozi makini sana.
 
we kolokoloni mahakama za tz hazina ubavu dhd ya mafisadi.at somehw lowasa kaonewa ni wkt wake kuwachenchia ccm.
 

pessa??....UNAKUNG'UTWA WEWE
 
lowasa mtu licha na ulaji wake lkn anaeleweka anachokifanya hana kujuana juana
 
Bora unaujua msamiati wa kutubu, kama kweli katubu arudishe pale alipochukua. Siyo anatuhumiwa kuchukua serikalini analipa makanisani. Arudishe alikozitoa kama katubu kweli. Hata hivyo hajawahi hata mara moja kusema kuwa katubu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…