Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,062
- 3,280
Wengi tuaasema Lowassa anatumia pessa za ufisadi kujisafisha,lakini ni afadhali yeye aliyeona aibu na kidhubuthu kurudisha pessa hiyo kwa njia ya siasa pamoja na kujisafiaha ,kuliko mlio wengi ambao walikula ,wanakula na wataendelea kula peasa na kodi za wananchi maskini na familia zao pasipo hata kurudisha mrejesho wa 10°/ kwa wananchi na mmebaki kua wachafu.
EL kawageuza watanzania kuku wa kienyeji. Kuku wa kienyeji anatupiwa punje za mahindi ili asogee na kukamatika kirahisi. Kudhihirisha ukuku wa watz hao, hata hawajiulizi siku zote hizo alikuwa wapi mpaka anaanza kugawa misaada mara hii?Mamvi anakubalika kwa njaa kali kama wewe!! Jitahidini kumtia moyo anaweza kuambilia hata nafasi ya pili sio mbaya sana!!!
Lowassa atuambie zile nyumba 42 alizokuwa anamiliki wakati akifanya sherehe yake ya kuzaliwa akiwa na miaka 42 alizipataje ? Tena maeneo nyeti kama Oysterbay, Mikocheni na Masaki ? Baada ya kujua hilo ntakuwa FRIENDS OF LOWASSA
Ngoyai mapozi yake tu ila sasa umri na marathi vinamtafuna taratibu
una cheti chochote valid from hospital kitakachoweza kukutetea na hoja yako hiyo ?
Pakipambazuka asubuhi unasubiri mpaka uone jua ndio ujue siku mpya imeanza utachelewa sana stail hiyo kijana