Na huyo wife na husband nao wana friends with benefits, mwe, ni karibu UKIMWI kwa kwenda mbele.Ila amin kuna watu kwanzia mnapokutana mmeongea kabisa hatuoani tunanjanjuana tu nna wife una husband picha kwisha
wapo sikatai Ila mtihani sana kwa kweliIla amin kuna watu kwanzia mnapokutana mmeongea kabisa hatuoani tunanjanjuana tu nna wife una husband picha kwisha
wapo sikatai Ila mtihani sana kwa kweli
Na huyo wife na husband nao wana friends with benefits, mwe, ni karibu UKIMWI kwa kwenda mbele.
mmmhh!Wala sio mtihani mnadum mpaka bas
mmmhh!
mnambambikia mume mtoto sio wakeYaani kuna watu wamenjanjuwana mpaka wakaamua sasa ni muda wa kusaka vipaji I'e ( WATOTO )
Wewe......umejuaje?! Au umeangalia mwandiko!Loh! Pole Mkuu mwache aende kwa kweli [emoji3] [emoji3] [emoji3] yaonyesha alikuumiza sana
mnambambikia mume mtoto sio wake
Engineer sio mtu mzuri na alichokifanya hakikua kitu kizuri hakika ...ila mwachie Mungu vyotemna moyo wa nyama kurudiana na x wako...kamwe badani sitorudiana nae .,..kama angekuwa ananiona nina umuhimu kwake asingeniacha angeendelea kubaki na mim sasa sialiniona simfai ..sasa nimrudie wa nin..hakika moyo wangu ni wa chuma SEMA HAPANA KURUDIANA NA ALIYEKUWA MPENZI WAKO..PIGA VITA KURUDIA MATAPISHI ..SAYA NO..SAYA NO TO EX -LOVERS...
Inaonekana ktk hizo mambo una uzoefu....[emoji1] [emoji1] [emoji1]Wala sio mtihani mnadum mpaka bas
Inaonekana ktk hizo mambo una uzoefu....[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hujawahi kukumbushia?!aiseehh!kuna watu wanajua kuudhalilisha utu wao jamani...!!
Mimi siwezi jamani..turudiane au kila mtu ashike njia yake!
hapana I can't cheat my feelings ...!Hujawahi kukumbushia?!
Hii kitu inanifurahisha sana, x wangu anaomba tuwe friend for benefit yaani ninapomuhitaji muda wowote anakuja tunafanya yetu kisha anasepa ila hataki tuwe official kimapenzi kwakuwa anadai hataki stress za mapenzi maana alishaumizwa vya kutosha.
Sasa swali langu jamani mwisho wa huu mchezo ni nini maana kuna muda hua namuonea wivu nikimkuta anaongozana na mwanaume mwingine japo sijui kama yeye hua ananionea wivu akinikuta na msichana,
Kwa yeyote mwenye ushauri juu ya friends for benefit naomba maoni tafadhali maana sielewi mwisho wake ni nini...,
Nina wasiwasi na utekelezaji wa msimamo wako kivitendo sio kinadhariamna moyo wa nyama kurudiana na x wako...kamwe badani sitorudiana nae .,..kama angekuwa ananiona nina umuhimu kwake asingeniacha angeendelea kubaki na mim sasa sialiniona simfai ..sasa nimrudie wa nin..hakika moyo wangu ni wa chuma SEMA HAPANA KURUDIANA NA ALIYEKUWA MPENZI WAKO..PIGA VITA KURUDIA MATAPISHI ..SAYA NO..SAYA NO TO EX -LOVERS...