Loh! Pole Mkuu mwache aende kwa kweli [emoji3] [emoji3] [emoji3] yaonyesha alikuumiza sanamna moyo wa nyama kurudiana na x wako...kamwe badani sitorudiana nae .,..kama angekuwa ananiona nina umuhimu kwake asingeniacha angeendelea kubaki na mim sasa sialiniona simfai ..sasa nimrudie wa nin..hakika moyo wangu ni wa chuma SEMA HAPANA KURUDIANA NA ALIYEKUWA MPENZI WAKO..PIGA VITA KURUDIA MATAPISHI ..SAYA NO..SAYA NO TO EX -LOVERS...
Kurudiana pia ni kurudia matapashi yako, kata mbuga tu.aiseehh!kuna watu wanajua kuudhalilisha utu wao jamani...!!
Mimi siwezi jamani..turudiane au kila mtu ashike njia yake!
Bwana lazima kutakuwa na feelings, ni pale unapokutana na marafiki zake akutambulishe kuwa wewe ni rafiki wakati jamaa unamfeel.'friends with benefits
Two friends who have a sexual realtionship without being emotionally involved. Typically two good friends who have casual sex without a monogomous relationship or any kind of commitment.'
Aisee... hii ina work kweli. ?? Mwenye uzoefu na hii kitu ateme hapa.
AISEEEEE!mna moyo wa nyama kurudiana na x wako...kamwe badani sitorudiana nae .,..kama angekuwa ananiona nina umuhimu kwake asingeniacha angeendelea kubaki na mim sasa sialiniona simfai ..sasa nimrudie wa nin..hakika moyo wangu ni wa chuma SEMA HAPANA KURUDIANA NA ALIYEKUWA MPENZI WAKO..PIGA VITA KURUDIA MATAPISHI ..SAYA NO..SAYA NO TO EX -LOVERS...
Bwana lazima kutakuwa na feelings, ni pale unapokutana na marafiki zake akutambulishe kuwa wewe ni rafiki wakati jamaa unamfeel.
Labda iwe biashara, ufungiwe chako usepe.Umeona ee... hicho kitu hakipo. yani ku f.k bila feelings,emotions., haipo hii.
aiseehh!kuna watu wanajua kuudhalilisha utu wao jamani...!!
Mimi siwezi jamani..turudiane au kila mtu ashike njia yake!