Fridge za Kariakoo

mosesgiant

New Member
Joined
Aug 13, 2022
Posts
3
Reaction score
3
Msaada, niko nataka kununua friji ya Hisense, nimepata hawa jamaa wanasema wanakuletea hadi nyumbani.

Sasa sina uzoefu nao na nina hofu nisiletewe kitu ambacho sio original.

Maana nimeulizia hadi duka lao lilipo nimeenda kuikagua naona kuna lebo ipo ndani ni made in South Africa, lita 263

Sasa naulizia kama hawa jamaa product zao ni orijino au wanachakachua?

Naogopa kupata majuto, naombeni msaada.
 
Hakuna fridge fake, watu wanasema ukipata hizo zina feature inaitwa anti defrost ni nzuri sababu haitopata kutu, hii feature fridge haikai na barafu bali inagandisha ulichoweka
 
Kitu cha muhimu ni warranty ya Maandishi, na warranty haitoki dukani bali kwa kampuni husika. Hata kama wanafanya delivery, Nunua Dukani simamia kila kitu likitoka kwenda nyumbani endelea na mishe zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…