wakuu nilikua nimejikusanya kusanya nikapata km lakin nne hivi,sasa nataka ninunue fridge ya mtumba kubwa,lakini bahati mbaya sina utaalam sana na mambo ya electronics,sijui fridge zipi ni nzuri au mbaya hata ikiwa mtumba,nilienda kwenye maduka ya mitumba nikakuta brand tofauti tofauti na bei ina range laki nne hadi laki nne na sitini.Sikununua nikaamua kuacha,lakini natamani ninunue fridge kubwa na nzuri ya kuweza kutumia kwa muda mrefu,si mnajua maisha yetu haya ya kulenga kwa manati? naomba ushauri wadau ni fridge gani ni nzuri na specification zake pia
Asanten
Asanten