Nipe link ya hiyo iliyoanzishwa jana, sijaipata...mumezidi na kuchakachua thread za watu. hii hapa ndugu yangu kaianzisha jana, nawe wadandia treni kwa mbele. vipi?
Nipe link ya hiyo iliyoanzishwa jana, sijaipata...mumezidi na kuchakachua thread za watu. hii hapa ndugu yangu kaianzisha jana, nawe wadandia treni kwa mbele. vipi?
.Nipe link ya hiyo iliyoanzishwa jana, sijaipata...
Movie ya horror ya zamaniFriday the 13th.. Ina sound kama virus!
Sitegemei nyota ila sio nzuri kabisaaaaaa kwa mwenye kutaka kujua kwanini ani PM ntamweleza tatizo....Huku mtaani inasemekana eti tarehe 13 ya ijumaa sio nzuri, kwa wale wazee wa kutegemea nyota kuna ukweli wowote??
Sure....haiko vema na imenichosha sana...Friday the 13th.. Ina sound kama virus!
Imani za ki magharibi hazituhusu wabongo!
Friday the 13th is believed to be a day of bad luck.
Friday the 13th occurs 3 times in 2012:
- January 13
- April 13
- July 13
[h=1]Friday 13th: omens of bad and good luck
[/h] [h=2] The superstitious have long regarded Friday the 13th to be a day prone to accidents and misfortune. [/h]