Friday Nairobi wapi kuna waka?

Ayusema

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
549
189
Habari wana jamvi!!

Hivi kwa friday hapa Nairobi wapi kuna pendeza na haya maua yetu (watoii) ukiacha pale Choices, tmall, au millionea??
Nipeni direction wadau...
 
Rafikis iko wapi hii mkuu?
Mi naona kama yupo centre pale basi F2 ni poa zaidi...

Ankal,

mwisho kuenda Nairobi ilikua lini mazee? F2 ilivunjwa kitambo sana...

flo1.jpg




flo3.jpg



End of an Era!! Florida Night Club Demolished (PHOTOS)
 
Back
Top Bottom