hamidshaban
JF-Expert Member
- Jan 4, 2011
- 262
- 32
nasikia tbc chanel imerudi hewani. Mwenye frequency anisaidie
nasikia tbc chanel imerudi hewani. Mwenye frequency anisaidie
nimejaribu hizo frequency imegoma tatizo ni nn?
nimeangalia kwenye flysat wameandika ni Horizontal badala ya vetrical inakuaje?Iko poa ila unaisubiri kwa muda dakika hivi
nimeangalia kwenye flysat wameandika ni Horizontal badala ya vetrical inakuaje?
nimeangalia kwenye flysat wameandika ni Horizontal badala ya vetrical inakuaje?
Chanel ten 4066 H 2848 1/2Ooh,imekubali nina kama miezi mitatu siipati,vipi kuhusu chanel ten mwenye freguincy saidia mimi