Frequency za redio free Africa kwa dsm

Iruru

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2014
Posts
1,468
Reaction score
2,903
Nmeshtuka kukuta 89.3 frequency ya rfa dsm hawapo wao bali wanapatikana BBC English kwa sasa! Sasa najiuliza, haya ni matokeo ya promo waliompa bashite wakapandishwa viwango au ile promo ilikuwa na lengo la kuuficha huu uofu wa kuuza frequency zao bila kulipa kodi tra?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakiweza kulipa deni,watakuwa akili imeshawarejea na kujipendekeza kutakuwa kumeisha,maana walikuwa wanafanya hivo ili wasamehewe deni lao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…