Frequency za ku-band

Frequency za ku-band

Christa

Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
37
Reaction score
4
Wakuu naomba mnisaidie chanel na frequency zake zinazopatikana kwenye ku band. Nina ungo ft 6 na receiva ya mediacom,fund kafanikisha kufunga chanel za cband lkn za ku bado hajawa mzoefu sana. Nipo kijijn mafund ndo hao wa kubahatisha.
 
inategemea unataka zipi. Kama unataka kbc, k24 na za uelekeo huo, ku inabidi ikae kwa mbele ininginie. Kama unataka emmanuel tv na wanaijeria, ku itabidi uifunge kwa nyuma ya lnb. Tukija kwa frequence na symbol rates wacha nikuwekee link
 
inategemea unataka zipi. Kama unataka kbc, k24 na za uelekeo huo, ku inabidi ikae kwa mbele ininginie. Kama unataka emmanuel tv na wanaijeria, ku itabidi uifunge kwa nyuma ya lnb. Tukija kwa frequence na symbol rates wacha nikuwekee link.. .
 
.
Ok.Kwenye emanuel tv.
 
Ok.Kwenye emanuel tv,sbb kwenye kbc cjui vipind vyao.
 
Sasa kama ulishindwa ukamuita fundi fundi naye kumbe njaa tu sasa hizo frq utazitumiaje?
 
Back
Top Bottom