Binadamu tunakuwa wakatili,kwa nini?Hatuoneani huruma?
Ni kitu gani kinafanya mpaka tukose ,kuoneana huruma?
Kuoneana huruma kwanza,ndio kitu muhimu.Binadamu tupendane,tuwache pembeni tofauti zetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.