GOLDGREEN9 JF-Expert Member Joined Jun 14, 2016 Posts 351 Reaction score 223 Jun 15, 2016 #1 Habari za mchana wanaJF Kama una idea ya lugha ya kifaransa tupia msamiati na tafsiri kwa kiswahili ili tujifunze, Naanza Mimi Fr; Mon pay magnifiquè s' appelle Tanzaniè Kisw;Nchi yangu nzuri inaitwa Tanzania
Habari za mchana wanaJF Kama una idea ya lugha ya kifaransa tupia msamiati na tafsiri kwa kiswahili ili tujifunze, Naanza Mimi Fr; Mon pay magnifiquè s' appelle Tanzaniè Kisw;Nchi yangu nzuri inaitwa Tanzania
MWANDENDEULE JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 4,765 Reaction score 9,242 Jun 15, 2016 #2 Mon=yangu
GOLDGREEN9 JF-Expert Member Joined Jun 14, 2016 Posts 351 Reaction score 223 Jun 15, 2016 Thread starter #3 Je temoignè =Nimeshuhudia
Charles Gerald JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 1,405 Reaction score 1,845 Jun 19, 2016 #4 Wewe umeingia google translator, unakuja kusumbua huku.
Paragons Member Joined May 3, 2016 Posts 60 Reaction score 47 Sep 6, 2016 #5 GOLDGREEN9 said: Habari za mchana wanaJF Kama una idea ya lugha ya kifaransa tupia msamiati na tafsiri kwa kiswahili ili tujifunze, Naanza Mimi Fr; Mon pay magnifiquè s' appelle Tanzaniè Kisw;Nchi yangu nzuri inaitwa Tanzania Click to expand... Hongera kwa kujaribu ila accents zinakusumbua; kama uko Dar; naomba uje kwetu ujifunze kwa mda mfupi sana KIFARANSA sanifu! merci!
GOLDGREEN9 said: Habari za mchana wanaJF Kama una idea ya lugha ya kifaransa tupia msamiati na tafsiri kwa kiswahili ili tujifunze, Naanza Mimi Fr; Mon pay magnifiquè s' appelle Tanzaniè Kisw;Nchi yangu nzuri inaitwa Tanzania Click to expand... Hongera kwa kujaribu ila accents zinakusumbua; kama uko Dar; naomba uje kwetu ujifunze kwa mda mfupi sana KIFARANSA sanifu! merci!
GOLDGREEN9 JF-Expert Member Joined Jun 14, 2016 Posts 351 Reaction score 223 Sep 6, 2016 Thread starter #6 Paragons said: Hongera kwa kujaribu ila accents zinakusumbua; kama uko Dar; naomba uje kwetu ujifunze kwa mda mfupi sana KIFARANSA sanifu! merci! Click to expand... nije huko wapi ?
Paragons said: Hongera kwa kujaribu ila accents zinakusumbua; kama uko Dar; naomba uje kwetu ujifunze kwa mda mfupi sana KIFARANSA sanifu! merci! Click to expand... nije huko wapi ?
Paragons Member Joined May 3, 2016 Posts 60 Reaction score 47 Sep 6, 2016 #7 GOLDGREEN9 said: nije huko wapi ? Click to expand... Learn French with us Bofya hapa: www.youtube.com/watch?v=EGC7PLIkAzw
GOLDGREEN9 said: nije huko wapi ? Click to expand... Learn French with us Bofya hapa: www.youtube.com/watch?v=EGC7PLIkAzw