French Kiss!!!


Umesema sawa kabisa, tatizo langu ni ile papara! Mtu anaona kama anachelewa anakotaka kwenda...so wet french kiss inabadilika na inakuwa ni zoezi la umwagaji mate ili awahi anapopataka - jamani!

Kuhusu kinywa sijui watu wanaogopana au vipi, kuna kaka tunaheshimiana sana na ana mke lakini akifungua mdomo ni hatari... sasa nimegundua huwa natembea na 'jojo' nikiwa nae jirani nachukua moja na nampa na yeye pia angalau amani inapatikana...


Annina
 


Papara inawezekana jamaa hajapata pata siku nyingi πŸ˜‰ (ana UH plus plus hahahaha) au mvuto wa dame si wa kawaida hivyo lazima apaparike. Kuna joke moja ya siku nyingi jamaa kachukua mtoto mmoja aliyeumbika sana basi wakaenda kunanihii sasa jinsi yule binti alivyokuwa mzuri wa kupindukia alivyosaula kila kitu na kubaki na birthday suti yake basi jamaa kaachia viwili vya haraka haraka hata kabla hajamgusa yule binti....LOL!

Usafi wa kinywa ni muhimu sana na kwenye mapenzi kama kinywa si kisafi basi inaweza kusababisha hata ugomvi wakati wapendanao mmoja anataka denda na mwingine hataki denda kwa kujua kinywa cha mwenzie kinaleta, lakini hili ukimfahamisha mwenzio anaweza kukishughulikia kinywa na hatimaye ukaridhika na usafi wake.
 
ok,tutajituma zaidi
 
HAhaha RayB pole pole mfundishe... u know they say practice make better or perfect...

Loh inauzi kweli bwana utafikri mtu hataki sijui ndo ushamba huo?
 
hahahahahahahaha ndiyo maraha anayoyasikia yanamfanya agande kama yuko kwenye jokofu lakini usidhani kazimia au kafa ni maraha tu hayo....LOL!

Mkuu BAK tatizo akiganda na mdomo unafungika so no entrance yaani wabaki kuzunguka nje ya fence tu ndani hakuingiliki yaani shughuli kwake ni moja tu anayosubiri, kwasu kwasu kwasu baaasi sijui wa milimani yule lol
 
-kuna mtu alikuja na vitisho ati kuna hatari ya cancer
 
Mkuu BAK tatizo akiganda na mdomo unafungika so no entrance yaani wabaki kuzunguka nje ya fence tu ndani hakuingiliki yaani shughuli kwake ni moja tu anayosubiri, kwasu kwasu kwasu baaasi sijui wa milimani yule lol

Mhhhh! hapo Mkuu inakuwa kazi kweli kweli maana hakuna denda tena hapo.
 
Yaani watu wanaongea juu ya usafi wa kinywa, sawa! Lakini kuna midomo ambayo usafi haufui dafu. mfano utakuta mtu meno karibu yote yalishaoza, na kubadilika rangi; na yanatoa harufu. Usafi wa aina gani utarudisha harufu nzuri ya mdomo? Vinginevo ang'oe meno yote basi! Nakubaliana na mtu kufanya usafi pale inapowezekana, lakini pale ambapo mdomo wa mtu umekuwa sugu kwa meno kuharibika, basi wapendanao wavumiliane. Mapenzi hayana kinyaa kwa taarifa yenu, ndo mana wahusika wanalambana kila mahali . . . Je, kupi kusafi ni mdomoni au kule kwingine? Naamini mdomoni bado ni kusafi sana ukilinganisha na huko kwingine watu wanakothubutu kukuvamia.
 


Kwa taarifa yako ni kwamba wataalamu wanadai kinywa ni kichafu zaidi kuliko huko kwingine.
 
Eh! Kaizer vipi tena Mkuu!? LOL!

katika kufatilia sredi mkulu BAK nimeona ligi ya wembe kupewa mtoto na kumkata, sasa the Boss bado akiulilia na Annina ameapa kumpatia liwalo na liwe....ila sasa ndo ivo mtoto akililia wembe wacha umkate

ndo nilikuwa nahitaji feedback kama umeshamkata au la heheheeeeee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…