Fremu ya kuuza viatu kariakoo

Fremu ya kuuza viatu kariakoo

fact only

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
975
Reaction score
1,356
Habari wakuu .

Kama unahitaji kufanya biashara ya viatu kariakoo Kuna fremu inaachiwa Kwa sh 500,000 Kwa mwezi imebaki miezi Saba. Mwenyewe anahamia Dodoma hakuna kilemba.

Ni kariakoo Mtaa wa muhonda (Msimbazi na muhundo opposite jengo la DDC) karibu.
 
  1. 1. Ipo ghorofani ama ya chini?
  2. Ni nyumba ya uridhi ama mmiliki yupo?
  3. Ile kesi ya mahakamani , kukopea benki imeisha ama kuna notisi ya madalali kuuza hiyo nyumba?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom