Fremu ya biashara inapangishwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fremu ya biashara inapangishwa

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mbwambo, Jun 13, 2012.

 1. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  ipo karibuna njia panda sigara na inatazama bara bara ya changombe
  inafaa kwamatumizi ya ofisi, duka la chakula, duka la vinywaji vya jumla na reja reja ,duka la vifaa vya ujenzi, duka la dawa dukala vipodozi nk.
  bei ni tshs.80,000/= kwa mwezi na mkataba ni wa miezi sita sita tu
  wasiliana na0713 -68 96 65
   
 2. lolyz

  lolyz JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nadhani inawafaa wakazi wa Tabata?au sigara ya wapi ndg?
   
 3. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Sigara ya Changombe, Temeke siyo ya Tabata
   
 4. lolyz

  lolyz JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  ok ...i see
   
 5. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  karibu dada na mdogo wangu
   
Loading...