Bak byzo I.T
JF-Expert Member
- Jun 29, 2014
- 266
- 125
Fremu iliyopo
Msasani
Opposite CCBRT
Inapangishwa kwa Laki moja tu (100,000)
mawasiliano
0657131366
Msasani
Opposite CCBRT
Inapangishwa kwa Laki moja tu (100,000)
mawasiliano
0657131366
Kwa miezi mingapi?
mimi nauza duka lenye mtaji wa 7m, pamoja na kodi karibuni ni duka la vipodozi
Chukua ya miezi 6 mkuu.Mwaka.
Duka lako kweli?lipo kinondoni, ni la vipodozi mkuu, lina mtaji wa 4.5, kodi bado ipo mpka mwez wa kumi na moja mwishoni, na frem yenyewe nillitenegza mimi so mpaka zile mbao nakuuzia, kwa jumla ua 7m. karibuni kuna wateja wengi tatazo mimi nimeamishwa kikazi so swezi kuwa nina imonita kwa uraisi na sina ndugu wa kufnya hivyo hapa mjini.
Chukua ya miezi 6 mkuu.
Kwa siku auFremu iliyopo
Msasani
Opposite CCBRT
Inapangishwa kwa Laki moja tu (100,000)
mawasiliano
0657131366
NimekuelewaBiashara haiongelewi apa jamvini mawasiliano muhimu.
Mkuu nalipa kwa installment nna m5lipo kinondoni, ni la vipodozi mkuu, lina mtaji wa 4.5, kodi bado ipo mpka mwez wa kumi na moja mwishoni, na frem yenyewe nillitenegza mimi so mpaka zile mbao nakuuzia, kwa jumla ua 7m. karibuni kuna wateja wengi tatazo mimi nimeamishwa kikazi so swezi kuwa nina imonita kwa uraisi na sina ndugu wa kufnya hivyo hapa mjini.