Fremu inatafutwa dodoma

Fremu inatafutwa dodoma

lettymololo

Senior Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
132
Reaction score
11
Salamu kwa wana jf wote,wakuu kwa wale ambao mpo Dodoma mjini naomba msaada wenu wa kupata fremu ambayo itapatikana maeneo mazuri yenye mzunguko wa watu,malengo yangu ni kufungua duka la kawaida au kufungua duka la CD's/DVD's.Nata nguliza shukrani zangu za dhati kwa atakaenisaidia,kwa mawasiliano zaidi 0789389152
 
Back
Top Bottom