Fremu inakodishwa

Fremu inakodishwa

Joined
Jan 22, 2014
Posts
42
Reaction score
2
Wana jf fremu inakodishwa maeneo ya sinza kwa Remmy anayehitaji ani PM, mwenye nayo amehamishwa kikaz mkoani
 
Weka bei,na je wewe ni kama nani kwenye hiyo frame.
Shanta,ndugu wa mwenye frame au ndugu wa mkodishwaji
 
Mimi ndie niliepanga fremu naamia mkoani kikazi, kama unahitaji unirudishie pesa niliyolipa ufanye biashara
 
Mimi ndie niliepanga fremu naamia mkoani kikazi, kama unahitaji unirudishie pesa niliyolipa ufanye biashara

Kodi kwa mwezi ni Tsh ngapi Arifu?
Umelipa Kodi ya muda gani unayohitaji refund yake?
Weka mawasiliano Bana, PM ni kwa ajili ya kutongozana siyo Biashara..
 
Jaribu kutumia lugha ya staha, utaeleweka tu, kodi ya mwezi ni elfu 70, imelipiwa hadi desemba
 
Mimi ndie niliepanga fremu naamia mkoani kikazi, kama unahitaji unirudishie pesa niliyolipa ufanye biashara

Sasa unajichanganya,kwenye post yako ya wali umesema mwenyenayo amehamia mkoani kikazi.
nimepokuuliza hapo juu sasa hivi unajibu wewe ndio mwenye frame na unahamia mkoani.
Hapo vipi mkuu,
 
Wana jf fremu inakodishwa maeneo ya sinza kwa Remmy anayehitaji ani PM, mwenye nayo amehamishwa kikaz mkoani

hilo eneo linafaa kwa biashara gani? na wewe ulikuwa unafanya biashara gani?
 
Nimesema nipepata uhamisho kwenda mkoani, kama unahitaji sema nikupe appointment ukapaone, acha siasa
 
Mkuu mbona mkali ila ungetoa no ingekua nzuri zaidi
 
Dahh naitamani but maelezo chaka mi napenda mtu strict to the point iko ivi nilikua nafanya bsnss hii na nahama kwa sababu hii na eti c kwenda mkoani kumbe umefukuswa na mizimu au majambazi ongea ukweli nije kuchukus sasa hivi
 
Back
Top Bottom