Frem inapangishwa Mwenge opposite magorofa ya Jeshi

Frem inapangishwa Mwenge opposite magorofa ya Jeshi

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,125
Reaction score
2,449
Frem upo hapa opposite na Jeshi ukishuka barabara ya TRA kwenda afrika Sana ukiingia kushoto, sehem imechangamka, Kuna maduka bar, na Kuna hotel kubwa inajengwa, mwanzoni hivyo frem ilikua na huduma za kifedha, kama airtel money, tigo pesa m-pesa, bei yake ni 150,000 mengine maongezi na Mwenye nyumba, nichek kwa 0713415537
 
Still available....
 
Ipo barabaran au unaingia ndani njia ya vumbi?
 
ipo barabarani pembeni
 
Back
Top Bottom