Frem inapangishwa Kigogo Fresh Sokoni

Frem inapangishwa Kigogo Fresh Sokoni

Prince Nadheem

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
1,265
Reaction score
1,092
Kama kichwa cha habari kinavyojinadi hapo juu wadau.
Fremu ipo eneo zuri kabisa Dsm eneo la soko jipya la Kigogo fresh kama unaenda Chanika.
Frem ipo makutano ya kituo cha daladala za Chanika - Buguruni na Lango la Soko la Kigogo fresh.
Panafaa kwa shughuli zote, Duka la vipodozi, Butchery, Biashara ya pesa ya mtandao N.K
Pako very strategic. Kodi ni Laki moja kwa mwezi uje na ya miezi sita.
Dalali HAPANA/HAHITAJIKI
Ukiwa interested njoo PM tuongee
Natanguliza shukurani.
 
Mkuu umeme unatumia 3 phase au single? Ina ukubwa gani kwa ndani?
 
Mkuu umeme unatumia 3 phase au single? Ina ukubwa gani kwa ndani?

Umeme ndio unasambazwa mkuu, soko bado ni jipya ila linachangamka kwa kasi sana, karibuni sana wakuu.
Fremu ni nzuri sana
 
Weka kwanza picha tupaone hiyo sehemu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom