Frem, frem, frem,,,,,, inahitajika!

Dr wa ukweli

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
900
264
Wapendwa natafuta frem ya biashara ya chips na vinywaji baridi (soda, maji, juice na bia) maeneo ya kimara, sinza, mwenge, ubungo, tabata, kindoni. Pawe na watu wengi (mzunguko wa biashara) mwenye nayo au anajua ilipo ni-pm bei isizidi 100,000/=
 
Check na madalali pia ijapokua hawajamaa ni kichefuchefu, they wont care about your reqirements, they only care about your one Month Rent!!
Watakupotezea muda/mafuta sana, Lakini unaweza bahatika coz nafikikiri wana option nyingi kuliko sisi, Cha msingi cheki na madalali wa maeneo yote hayo, Be careful coz they are very tricky!

Vipi ukipata sehemu ukaweka Container, Ule moto wa kuondoa macontainer kwenye open space haupo tena mkuu.
 
hawa jamaa nimetembea nao sana wananipeleka sehemu za ajabu, sehemu mzuri hawakubali biashara ya kilevi. hata contena siyo mbaya! naweza fanya
 
wapendwa natafuta frem ya biashara ya chips na vinywaji baridi (soda, maji, juice na bia) maeneo ya kimara, sinza, mwenge, ubungo, tabata, kindoni. Pawe na watu wengi (mzunguko wa biashara) mwenye nayo au anajua ilipo ni-pm bei isizidi 100,000/=
ninayo ni yangu mwenyewe,ipo barabarani.tutafutane
 
wakuu bado natafuta, niliyopata imenishinda uswahili umekuwa mwingi nimekatisha mkataba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom