Freezer (super general) kubwa inauzwa bei poa

Freezer (super general) kubwa inauzwa bei poa

mwajanuzaj

Member
Joined
Sep 4, 2014
Posts
22
Reaction score
3
freezer safi na zuri ambalo haijatumika zaidi ya mwaka. Linauzwa laki NANE (800,000/=)
unaweza kulitumia kwenye duka la samaki, nyama, matumizi ya nyumbani na kuifadhia vinywaji.
NIPO MABIBO HOSTEL
kwa mawasiliano zaidi 0714373488
freezer.5.jpg
freezer.4.jpg
freezer.jpg
freezer.3.jpg
freezer1.jpg
freezer2.jpg
 
Duhh,Bei rahisi sana kwa jinsi freezer hizo zilivyo na bei kwa mwenyekujua.
Nimependa utunzanji wako mkuu maana hadi Lable hujaibandua.
 
freezer safi na zuri ambalo haijatumika zaidi ya mwaka. Linauzwa laki NANE (800,000/=)
unaweza kulitumia kwenye duka la samaki, nyama, matumizi ya nyumbani na kuifadhia vinywaji.
NIPO MABIBO HOSTEL
kwa mawasiliano zaidi 0714373488

Bado lipo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom